Kwanini ni vigumu kwa watu wenye ulemavu kuwa katika mahusiano?

Habarii wana JamiiForums, hope mpo poa. Nadhani wote tupo nyumbani mida hii maana weekend imeanza mapema kutokana na sikukuu za nane nane kushukia hapa hebu nisiwachoshe twende moja kwa moja kwenye mada

Hivi kwanini inakuwa shida watu wenye ulemavu kuingia kwenye mahusiano, iwe mvulana iwe msichana lazima kuna kuwa na ugumu fulani yaani unaweza kuta mtu anamtokea mwanamke fulani awe mwanaume anamtongoza mwanamke fulani lakini akijua tu ni mlemavu lazima aache kitu kinachopelekea kupungua kwa confidence kwa watu wenye ulemavu

Katika maisha NGONO ni kitu muhimu sana kwa binadamu ili aweze kufanya kazi vizuri na kujituma NGONO ina mchango mkubwa sana kiuchumi na kijamii japo hili watu huwa hawaliongei sana

Kuna athari kubwa sana kiafya na kisaikolojia kuishi muda mrefu bila kufanya NGONO sasa basi naomba michango yenu

Kwanini imekuwa ni ngumu kwa watu wenye ulemavu kuwa na mahusiano ya kimapenzi?

Nini hasa kifanyike ili kusababisha kundi hili lionekane ni la kawaida katika jamii?
Hall 1 pale udsm nimewahi kungonoka na albino wangu Husna, kwa kweli nilikuwa namuonea huruma na pia alikuwa ananiogopesha jinsi macho yake yanavyogeuza geuza.

Siku ya kwanza nilijua anakata Roho.
 
Hahaha block f au sio. Namfham.
 
Kwqnza mleta uzi nitakujib kama mtu mwenye ulemavu. Kuna aina za ulemavu haukupihuru na uwezo wa kufanya maamuzi ya tendo fulani. Mfan ni ulemavu wa mtindio wa ubongo. Katika ulemavu wa aina kama hii haiwezekani kua na mahusiano ya kimapenzi.
Pili ninapenda kukuambia kwamba kuna aina kadhaa za ulemavu ambazo mlemavu aliye na moja kati ya aina hizo za ulemavu anawweza kua na mahusiano. Kuna uziwi na sio wasiosikia, wasioona na sio vipofu, walemavu wa viungo, albino na sio Zeruzeru, na walemavu wa ngozi.
Suala la kwa nn wanashindwa kua na mahusiano ya kimapenzi ni kutokana na mitazamo mibovu ya jamii juu ya ulemavu na walemavu.
Mwisho kabisa nikuambie nayasema haya maana ninauzoefh nayo. Mimi ni mtu nisiyeona. Asante.
Nahisi wachangiaji hapo juu wanakubaiana na oja zangu. Sema Tanzania Joanah karibuni

Uko sawa mkuu mtume wawatu ,jamii imekuwa na mitazamo mibovu sana kuhusu walemavu....kuna wanaoona walemavu ni kama mzigo,aibu ama kuwa na mahusiano na mlemavu ni kama laana/gundu

Kimsingi kutokujiamini inaweza kuwa sababu kubwa ya walemavu kujitenga na mahusiano,hii inatokana na yale mazingira waliyokuwa nayo ya kunyoshewa vidole,kuongelewa na kutengwa na baadhi ya watu
Ndio maana wanakuwa na hasira za karibu sana
Nimeshakutana na couple mbili ambazo wote ni viziwi,ukiwaangalia wanavyowasiliana kwa vitendo,wanaelewana wanacheka kabisa

Kinachotakiwa kufanyika ni jamii kuelewa kwamba hakuna mkamilifu katika hii dunia,hata aliyekamilika hajui dakika tano zijazo atakumbana na jambo gani litakalomfanya awe kundi la alilokuwa anawatenga

Hakuna anayependa kuwa mlemavu,hakuna anayependa kutengwa,kila mtu anahitaji upendo.....sisi wote ni wa Mungu
 
Mkuu unazungumzia ulemavu upi?maana kuna ulemavu mwingine mwanaume akiwa nao ,,wanawake wanamkimbilia..
Na kama unazungumzia ulemavu wa viungo vingine vya mwili,,,na sio ulemavu wa dushe basi hilo ni tofauti sana.
Mara nyingi hawa walemavu wa kiume wanakuwa na mahusiano na wanawake ambao sio walemavu,, au akapata mwanamke ambaye ni mlemavu mwenzie ,,
Ila mwanamke ambaye ni mlemavu kupata mwanamme ambaye sio mlemavu ,,
Mara chache sana wanapata wanaume ambao sio walemavu lakini kwa kujificha.
Unawezakuta mwanamke mlemavu amepewa ujauzito na mwanaume ambaye sio mlemavu lakini mahusiano ni ya kificho..hayapo wazi.
Ila walemavu wanakuwa na mahusiano ya mapenzi na watu ambao sio walemavu,,,labda hujapata bahati kuwaona..
Nina jamaa fulani ni mlemavu wa mkono mmoja,,alipata ajali ya gari akakatika mkono na sikio,,,huyu jamaa akimtokea demu ,,ikatokea mwanamke akimkataa,,
Basi atalalamika sna,,, unaniona ni mlemamvu ndy sababu umekataa,,
Mimi sikuomba kuwa hivi kwani zamani nilikuwa mzima kama wewe..
Ila sawa MUNGU atanipa faraja siku moja..
Kwa maneno hayo hupelekea mwanamke kumuonea huruma na kumkabidhi papuchi..
Jamaa anawagegeda sn watoto wazuri...
Akikutilia huruma lazima umpe...kipochi..
 
Man kabisa umesema kweli
 
Mkuu Joanah wakati ndo bado niko shule o level dogo mmoja akanifuata akaniuliza swali. "Hivii wewe broo hauoni siku ukiwa na demu wakati wa kufanya utajua pa kuingizia wapi?" Na mm nilimuuliza mbona we unakula gizani kwani mdomo unauona??? Maana ya haka kastori ni kuonesha mitazamo ya baadhi ya watuu juu ya watu swenye ulemavu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
We jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2955][emoji2955]
 
Mkuu Joanah wakati ndo bado niko shule o level dogo mmoja akanifuata akaniuliza swali. "Hivii wewe broo hauoni siku ukiwa na demu wakati wa kufanya utajua pa kuingizia wapi?" Na mm nilimuuliza mbona we unakula gizani kwani mdomo unauona??? Maana ya haka kastori ni kuonesha mitazamo ya baadhi ya watuu juu ya watu swenye ulemavu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahahah ila kweli bhana
Haiwezekani ukakosea mdomo hata kama unakula gizani,labda uwe unamlisha mtu mwingine.....hata kale katobo ni ngumu kukakosea 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom