Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Kama wewe ni mdadisi wa kutaka kupima hisia za ukweli wa tuhuma fulani, basi angalia kwanza mrejesho wa mwanzo wa yule aliyetuhumiwa (yaani Reaction ya mtuhumiwa).
Baada ya Pole Pole kuzilipua CCM, NIDA na INEC, ghafla ziliibuka taarifa nyingi za makada wa CCM kujaribu kujibu hoja za Pole pole, kwa bahati mbaya majibu yale yale ya wanaCCM yakarejewa kutolewa na INEC na NIDA. Ni kama vile wote walikaa sehemu moja (mifumo kuonana!) ili kuleta taarifa zinazoshahabiana.
-Kwanini wahusika waingiwe na taharuki ya ghafla?
-Kwanini wahusika waje na majibu mepesi kwenye maswali magumu?
Kuna nini kinaendelea baina ya NIDA, CCM na INEC.