Kwanini nikianza kufanya mapenzi na mke wangu mtoto wetu mchanga aliyelala fofofo anaamka na kulia?

Ndg wana jf hivi hii inawakuta na nyie au nimimi tu yani mtoto wetu ni mchanga miezi saba huwa analala fofofo sana lakini tukianza tu kufanya mapenzi huamka na kuanza kulia kwa nguvu sana.
Sasa nimeshindwa kuvumilia Leo nimemfinya na nimesusa kufanya mapenzi kwasababu yake.
Unasusaje mkuu, kwani mama yake hawezi kumnyonyesha wakati wewe ukiendelea na mapigo ukitokea kwa nyuma?
 
Back
Top Bottom