Kwanini nikijamiiana nawahi kufika?

Kwanini nikijamiiana nawahi kufika?

mtwana

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
428
Reaction score
140
Nilikua nina shida naomba nijibiwe kwa ufasaha kabisa kwa ambae hajui ni vizuri kukaa kimya ili na yeye afaidike....

Suala langu ni kwanini nikijamiana hua nawahi kufika?
La pili dawa gani ambazo zimetambulika kitaalamu ambazo zinazidisha nguvu za kiume?
La mwisho nitumie dawa gani ili niweze kumpa mwanamke Mimba
 
Kawaida ya mtu asie na busara hupuuzwa namm nakupuuza tu
 
Una umri gani mkuu? Je umefanya Sperm analysis na kugundulika kuwa huwez kumpa mwanamke mimba?
 
Mimi ni Muislam siwezi kutumia kitu kilichoharamishwa
 
Kama unasikia utazidi kuelewa...Siku njema
 
Back
Top Bottom