Kwanini nikimaliza sex tumbo linauma?

Kwanini nikimaliza sex tumbo linauma?

wewe unabinuuka utakuja kutolewa utumbo ukome lala chali wanaume wengine ukigeuka sijui dogy stlyle anashindilia lote hadi anavuruga utumbo .
lala chali tu hataki acha kwanza acha zinaa
Aisee huu ushauri hapana,kila siku hio hio ya kulala chali.
 
Girl wangu nae hulalamika tumbo kesho yake kiuno....now natumia timewatcher na speedgoverner
 
unapata faida gani ukisex ambayo unadhani ukiacha utaikosa? mwanamme anaekupenda kwanza hawezi kusex na wewe labda awe mumeo
sasa mi nmezoea kusex nkiacha naona ntapata matatzo kiafya au siwez kupata tatizo? siwez kusubir mpk niolewe cos mi bado mwanafunzi nasoma
 
ziko sababu nyingi za tatzo lako
1.inawezekana tendo la ndoa mnafanya kwa fujo
2.inawezekana bwana wako ana sehemu nyeti kubwa kuliko uke wako
3.unaweza ukawa na chango au u.t.i sugu mwilini mwako

NB:KUFANYA MAPENZI BILA KANUNI NA TARATIBU UTAJIKUTA MGUMBA HUKU UKIDHANI UNAMFURAHISHA BWANA WAKO
 
okey nakushauri usipende kufanya mapenzi kwa zaidi ya dk 2 ukiwa umebinuka makalio huku mwanaume akiwa nyuma yako kama bwana wako ana **** ndefu au pana au kubwa ataua kizazi chako jaribu kukaa mkao ambao utapima size ya **** wapi iishie bila kuzama yote
asante kwa ushaur wko
 
wewe unabinuuka utakuja kutolewa utumbo ukome lala chali wanaume wengine ukigeuka sijui dogy stlyle anashindilia lote hadi anavuruga utumbo .
lala chali tu hataki acha kwanza acha zinaa
[emoji85] [emoji85] Miss na haya unajua... Mi nikajua na kale ka uvivu bado unatafta..
 
Hiyo ni moja Ya dalili za Magonjwa ya zinaa Sugu.. Jarbu kucheki hospital.. Coz kwa Wanawake Magonjwa kama hayo dalili zake huchukua mda mrefu kugundua
 
umejiobserve wakati ukimaliza tu ndo unapata maumivu ya tumbo au hata wakati wa kufanya kuna discomfort unayoifeel tumboni?Pili je unapata hedhi vizuri zipo katika mpangilio unaohitajika?kama kuna tatizo katika hayo nenda kwa gyno ujieleze wakusaidie
 
sasa mi nmezoea kusex nkiacha naona ntapata matatzo kiafya au siwez kupata tatizo? siwez kusubir mpk niolewe cos mi bado mwanafunzi nasoma
Sikiliz dada yangu. Ngono sio chakula. Hao wanaume zako wanakuua kizaz na utashindwa kuzaa badae au utakuwa kilema, sasa wewe jianye huwezi kuacha kutiana ukishapata kilema kizazi kitolewe ndio utaweza kuacha ngoni,

Afu inaonekana una mauno sana wewe mtoto. Mi nna dawa ya kuacha kama unaona huwezi hivi hivi kuacha . We ntafute kwa maelezo utapona na utachukia ngono.
 
Back
Top Bottom