GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Una chembehai za kichawi,Na pia naomba kujua ni kwanini ikitokea tu Nimemchukia Mtu basi atakuwa na Mabalaa, Mikasa na Matatizo mengi Maishani mwake ila Nikimpenda ( Nikimkubali ) tu Mtu yoyote kutoka Moyoni mwangu atakuwa anafanikiwa mno na atainuka haraka Kimaisha na Kimaendeleo?
Mtengee tu NYABENGA lako na atapoa.🤣🤣 niko udoweni apa nUgulia maumivu nmeumia mguu kuna mjeda alikua ananikimbiza nmechoropoka mkuu nishauri kitu
Sema unapendaga ku-take attentions za watu balaaHuenda ikawa ni Zawadi ambayo Mwenyezi Mungu amenipa kwa Kuniumba nayo, ila kwa Wanadamu huwa inanipa wakati mgumu Kwao kwani huniona kama ni Mchawi Kwao kwakuwa nikiwashauri Jambo au kuwatahadharisha nalo Wakinipuuza tu na kufanya Wajuavyo huwaharibikia na kuanza kuniona ni Mchawi na nimewaharibia.
Na pia naomba kujua ni kwanini ikitokea tu Nimemchukia Mtu basi atakuwa na Mabalaa, Mikasa na Matatizo mengi Maishani mwake ila Nikimpenda ( Nikimkubali ) tu Mtu yoyote kutoka Moyoni mwangu atakuwa anafanikiwa mno na atainuka haraka Kimaisha na Kimaendeleo?
Nitawashukuru Wajuvi mkinielimisha.
sema hawa jamaa mkuu hii ni mara ya 3 mjeda kufa kawe kama una kumbukumbu kuna yule mmoja alikufa huku nyuma karbia na gest kama unenda hosptali ya private afu na kuna mwngne aliuliwa huku chini kama unaenda bondeni alipgwa kisu na vbakaMtengee tu NYABENGA lako na atapoa.