Kwanini nikimuangalia Diamond naiona Sura ya Umiliki wake wa Wasafi Media, ila kila nikimuangalia Ali Kiba siioni Sura ya Umiliki wa Crown Media?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza nawaomba mrejee hapa JamiiForums tuambiane mmegundua nini.

From London to Dar es Salaam.
 
Ulkisema Social inference ,itapendeza zaidi
 
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza nawaomba mrejee hapa JamiiForums tuambiane mmegundua nini.

From London to Dar es Salaam.
Confidence Ni ya kuzaliwa nayo mfn. humu tulikuaga nae Billionaire Lugano
Kuna watu wa bukoba unakuta mtu masikini wa kutupwa yaani ""kapyalu"" Ila utastaajabu matambo yake utadhania Ni libepari LENYE ukwasi mwingi 😊😊

Kwenye swali lako inawezekana Kiba ameshindwa kujiposition
 
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza nawaomba mrejee hapa JamiiForums tuambiane mmegundua nini.

From London to Dar es Salaam.
Kuna kitu hakipo sawa,na umiliki wa redio hiyo uko kwa mtu mmoja yupo mombasa
 
Mzee baba ayo mambo ya ownership kwenye company yana sheria zake....hayapimiki kwa ushabiki
Haya ya umiliki wa wasafi yalishajilikana mapema sana ni daimond na mke wa kusaga baadae inasemekana daimond alinunua hizo hisa za mke wa kusaga kupitia mama yake hata hili la kiba litajulikana
 
Umiliki wa Wasafi navyofahamu mpaka sasa Kusaga hachaachia/ hajauza hisa zake..
Kusaga 51%
Diamond 47%
Mama Diamond 1%
Na mtu mwingine nimemsahau 1%
 
Back
Top Bottom