GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ulkisema Social inference ,itapendeza zaidiKwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza nawaomba mrejee hapa JamiiForums tuambiane mmegundua nini.
From London to Dar es Salaam.
Na aliyebarikiwa vilvyo na Mwenyezi Mungu kuwa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' Kudadadeki....!!GENTAMYCINE ni moja tu JF
Confidence Ni ya kuzaliwa nayo mfn. humu tulikuaga nae Billionaire LuganoKwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza nawaomba mrejee hapa JamiiForums tuambiane mmegundua nini.
From London to Dar es Salaam.
Katika ubora wakoPurely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer'
Kuna kitu hakipo sawa,na umiliki wa redio hiyo uko kwa mtu mmoja yupo mombasaKwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza nawaomba mrejee hapa JamiiForums tuambiane mmegundua nini.
From London to Dar es Salaam.
Uliotukuka.Katika ubora wako
Haya ya umiliki wa wasafi yalishajilikana mapema sana ni daimond na mke wa kusaga baadae inasemekana daimond alinunua hizo hisa za mke wa kusaga kupitia mama yake hata hili la kiba litajulikanaMzee baba ayo mambo ya ownership kwenye company yana sheria zake....hayapimiki kwa ushabiki
Umiliki wa Wasafi navyofahamu mpaka sasa Kusaga hachaachia/ hajauza hisa zake..Haya ya umiliki wa wasafi yalishajilikana mapema sana ni daimond na mke wa kusaga baadae inasemekana daimond alinunua hizo hisa za mke wa kusaga kupitia mama yake hata hili la kiba litajulikana
Uko sahihi Mkuu na ndiyo maana hata Dada ambaye ni Mzoefu wa masuala ya Management Seven akaachana nae.ukute Kiba ana 2% ya umiliki Kiba sio mjanja kama mondi suala la biashara kwake ni zero