Kwanini nikimuangalia Diamond naiona Sura ya Umiliki wake wa Wasafi Media, ila kila nikimuangalia Ali Kiba siioni Sura ya Umiliki wa Crown Media?

Ni kwasababu Diamond ndie alikuwa na idea ya kuwa na media yake ambayo atakuwa nayo free kufanya nayo mambo makubwa ial alikiba siku zote hanaga maono alisha staafu mziki ila anafosi na kufanya shughuli za kimziki kwasababu ya kutaka kuwaridhisha mashabiki zake tu ila sio kwa malengo ya kukimbiza ndoto zake.


Kwa kifupi Alikiba anapita njia aliyochonga diamond ndio maana kila analofanya Diamond basi alikiba atatafuta namna ya kulijibu ingawa atajifanya hashindani nae. Kwa kifupi alikiba ni gesi ya soda diamond ni gesi ya oryx. Gesi ya soda haiwashi moto ila ya oryx inawasha moto.

Alikiba alishawahi kuhojiwa na akaonyesha wazi kuwa ana unresolved dispute and grievances na Diamond platinum especially akikumbuka kipindi diamond ni under ground yeye tayari alikuwa ni msanii mwenye jina mjini na anauwezo wa kuingia studio yoyote bila kubembeleza au kulipa kwanza then akafanya kazi zake na kusepa. Diamond aliingia studio kwa gear ya kuosha vyombo na kuwa chawa pale kwa akina Mr. Chocolate flavor Bob junior.

Alikuwa anaosha vyombo na kushinda pale kama mtu asiye na ramani, alikuwa anam'bembeleza sana jamaa ampe chance ya kurekodi nyimbo hadi Bob junior ikabidi awasiliane na Alikiba kwamba wamruhusu jamaa au waendelee kumpotezea Alikiba akasema basi mruhusu tuone uwezo wake ndipo hapo sasa diamond akatoka kimziki na kuanzia njia ya mafanikio sasa alikiba walikuja pishana sijui kuna nyimbo walirekodi pamoja (jina la wimbo limenitoka) halafu baada ya kurekodi l, diamond bila kumjulisha alikiba akafuta vocals zake zote akaweka za msaanii mwingine kama si kuimba mwenyewe wakati ni yeye diamond aliomba kiba ampe tafu so Alikiba akatafsiri kuwa ile ni dharau kubwa sana maana wimbo ukatoka bila sauti ya alikiba ndani so kiba toea hapo plus visa vingine yeye na diamond ni mahasimu.
 
Ilikuwa wimbo wa SINGLE BOY wa alikiba na jay dee, Verse ya jide alikaa diamond, Kiba akaona haita-make sense wote kuwashambulia wanawake tu so akaona akae jide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…