MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji ( Mzungumzaji ) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo Simba SC imempata Competent Club Spokesman / Spokesperson kikubwa imuamini, imtunze na imsikilize pia katika Mawazo yake.
Kuna Timu zingine pamoja na kwamba zina Wasemaji wa Wanachama ( wa Klabu ) na wa Mdhamini ( Tajiri ) lakini ukiwa unawasikiliza unaweza ukatafuta la maana na ukalikosa ila cha pekee ambacho hutokikosa Kwao ni Majungu, Wivu, Uswahili na Kujipendekeza na Kujibebisha kwa Tajiri huku wakijijua kuwa Wao ni Wanaune na Tajiri ana Mke wake mzuri tu ambaye hata bado hajamuacha.
Naipenda sana Personality ya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kwani ni Corporate kabisa na popote akienda atavutia na Kushawishi walioko hasa Kibiashara tofauti na wengine ambao Meno yao ya Rangi Mbili na Pua zao Kubwa kama Honi za Mabasi ya Mwendokasi zitawakimbiza Wadau wa Kibiashara wanaoenda Kuwaona.
Mightier nikimsifu Mtu jua yuko vizuri.