Kwanini nikiwa na mpenzi wangu?

Kwanini nikiwa na mpenzi wangu?

Mupe mupe mupee haaa hii ngoma hazibani pua its all bout music 255
 
Inawezekana coz period ni mambo ya hormones na unapokua na mpenzi wako labda unakua stimulated na hii hupelekea release ya hormones ambazo zinaleta changes kwenye mfumo wa Mp
 
its a bizzare, it has nthng to do wit ur boy, sasa siku mki Do, c utasema mengne..HAKUNA KI2 KAMA ICHO, REFORMAT UR PSYCHOLOGY SYSTEM.

Why should she, when its actually doing good for her? And well, they say never say never. Mambo ya psychology hayo...Mi naomba tu kama ikitokea kwa my wife basi maumivu yasijehama kwa bluetooth bure!
 
tatizo dogo la kisaikolojia. oaneni fasta!
 
kuna arifu mmoja tulikuwa tunapiga kitu cha b'fast street jombaa kaagiza malimao na ndimu za kuzidi viwekwe kwenye chai yake nika muuliza niaje selaa? Akanijibu wife ana-bendi (mimba) aisee so si unajua tunakuwa na hamu za vitu vichachu.....inawezekana aisee??

hiyo inawezekana sn coz w/ke wengne wanapokua na ujauzito huwa hawaugui wala kuhic maumiv ila w/ume zao ndo huugulia maumiv hayo na hushndwa hata kwnda kazn.(wid xperience).SO IT'S QUIET POSSIBLE.
 
huwa mnagawana uchungu kupitia BLUETOOTH
 
Back
Top Bottom