Kwanini niko hivi jamani?


Stress za maisha zinachangia sana.
 
Mkuu Janjaweed wewe Je huna hayo Matatizo ya Nguvu za kiume?
 
Last edited by a moderator:
dr huu uchokozi ukitusuliwa migumi ya uso hata hatukutetei. Nakutakia heri ya sikukuu za mwaka mpya.
Bibie kipenzi huambo lakini King'asti ? Huyu Mkuu.@Janjaweed yeye anasema kuwa anasikia vijana wengi hawana nguvu za kiume mimi ninamuuliza je wewe huna Matatizo ya nguvu za kiume?Sio nguvu za kupigana ngumi? Nguvu za kumtoseheleza Mwanamke kitandani nguvu za kufanya tendo la ngono.........................
 
samahani mkuu wewe ni kabila gani..
 

Nitakutafuta, hakika utatuokoa wengi! Maana wengine hata hilo moja ni tabu.
 

nshasema simo mie dr. Ohoo, nisijefanywa demo buree
 
Nitakutafuta, hakika utatuokoa wengi! Maana wengine hata hilo moja ni tabu.

Karibu. Wengi pia walishasaidiwa na kurudi kutoa ushuhuda na pia ukitaka kuona shuhuda zenyewe zinapatikana lakini siyo vizuri kuzianika kwa kila mtu. Unaweza kuniandikia email kama unahitaji sababu wengi siku hizi wanaamini zaidi ushuhuda kwanza
 
baadh ya wataalam husema kwamba ukishaathrika na punyeto nguvu za kiume hazirudi tena maisha yako yote kwa sababu miruli na mishpa katika uume hulegea na kushndwa kufunction 4eve.ni kama matiti yakishaanguka.hayasimami tena.pole sana kaka.
 
Fanya mazoezi ya kukza uume na ule vizuri. Naamini utapona kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…