Kwanini niko hivi jamani?

Hii thread inadhihirisha tofauti ya Great Thinkers wa JF kwa miaka ya nyuma na hawa wa sasa.
 
duh pole sana mkuu!nadhan wanaume weng inawaumiza km mwanamke kukosa uzaz!utapona tu
 
Vumbi la Kongo. Ndiyo habari ya mjini. 😀
 
Pole bro,ila kwa mtazamo wangu inaonekana ulipiga sana puchu yan punyeto,,no way kwa vile tatzo limeshatokea hakuna bud kulisolve,,naamin ukiacha puchu,,Fanya mazoez,,kula vema haswa ukitumia food supplement zilizo bora utarejea ktk halo yako ya kawaida,,,kwa uzoef Wang ktk kes ka ako weng huwa walijichua sana
Nakutakia kila la kher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…