Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,357
- 1,596
Sababu zilifanya mimi kuwa mkristo ni
Wakristo kuamini watu wote ni wa Mungu bila kujali DINI, KABILA, UTAJIRI nk..... Wakristo wanaamini njoo kama ulivyo Yesu bado anakupenda. Hii ni kwamba, wenye dhambi, Waislam, wenye shida, yesu bado anawapokea.
Kumpenda jirani yako kama wewe unavyojipenda, sio tu nikupende kwa vile wewe ni mkristo mwezngu, hii hapana. sio kwamba Fulani ndugu yake Fulani, hii hapana, mpende mtu yeyote bila kujali Imani yake.
Ukristo ni kwa watu wote, lugha zote, si lazima kujua kingereza ndo ujue Mungu, Mungu anasikia maombi kwa lugha yeyote na kwa mtu yeyote wakati wowote ukiwa popote.
Wakristo hawapigani vita ya kimwili( vita ya mapanga na mikuki au kujilipua). wanapigana vita ya kiroho( maombi).
Nchi nyingi salama kutembelea ni za wakristo
Asante