GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Japo Marekani sijafika na kuna uwezekano hata nisifike kabisa, ila tangia Joe Biden 'atangazwe' Mshindi nami najiona kama vile nipo Washington.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu wewe ni kiaziJapo Marekani sijafika na kuna uwezekano hata nisifike kabisa, ila tangia Joe Biden 'atangazwe' Mshindi nami najiona kama vile nipo Washington.
Iwe pia nawe Amina.Basi sawa. Amani ya bwana iwe daima nawe
Mbona hueleweki Wewe? Umesoma kweli na unadhani unastahili kabisa kuitwa 'Great Thinker' wa JF? Umeanza kwa kusema sijui Joe Biden ni mbaya na hata hujatupa sababu zako za Kiutashi zenye Mantiki (Logical and Intellectual Facts) umehamia katika CORONA ( COVID-19 ) hujakaa sawa tena umehamia katika Uchumi ambao hata wenyewe pia hujauelezea jinsi inavyotakiwa. Kiufupi tu ni kwamba 'umekurupuka' sana tu. Pole!Jidanganye... BIDEN IS BAD... see what the world will be...
We all gonna be FORCED TO RECEIVE RFID COVID 19 VACCINE. then we get Control. TUnakwenda kuwa watumwa kwa lazima . Kumbuka CORONA ni mpango wa China na Democrat kumuondoa TRIMP Madarakani maana kwa travk record aliyokuwa naye alishaanza kuifanya USA kuinuka kiuchumi kuliko Rais yeyote WA MAREKANI. But hawampeni kwa misimamo yake ILIYOKUWA INALINDA UHURU NA MAISHA YA WATU ... TRUMP os PrO LIFE.
Conspiracy theorist.Jidanganye... BIDEN IS BAD... see what the world will be...