Kwanini nilikuwa nikiiangalia Sura ya Trump naona 'Fujo' na 'Ukatili' ila nikiiangalia ya Biden naona 'Amani, Furaha na Upendo' tupu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Japo Marekani sijafika na kuna uwezekano hata nisifike kabisa, ila tangia Joe Biden 'atangazwe' Mshindi nami najiona kama vile nipo Washington.
 
Jidanganye... BIDEN IS BAD... see what the world will be...
We all gonna be FORCED TO RECEIVE RFID COVID 19 VACCINE. then we get Control. TUnakwenda kuwa watumwa kwa lazima . Kumbuka CORONA ni mpango wa China na Democrat kumuondoa TRIMP Madarakani maana kwa travk record aliyokuwa naye alishaanza kuifanya USA kuinuka kiuchumi kuliko Rais yeyote WA MAREKANI. But hawampeni kwa misimamo yake ILIYOKUWA INALINDA UHURU NA MAISHA YA WATU ... TRUMP os PrO LIFE.
 
Mbona hueleweki Wewe? Umesoma kweli na unadhani unastahili kabisa kuitwa 'Great Thinker' wa JF? Umeanza kwa kusema sijui Joe Biden ni mbaya na hata hujatupa sababu zako za Kiutashi zenye Mantiki (Logical and Intellectual Facts) umehamia katika CORONA ( COVID-19 ) hujakaa sawa tena umehamia katika Uchumi ambao hata wenyewe pia hujauelezea jinsi inavyotakiwa. Kiufupi tu ni kwamba 'umekurupuka' sana tu. Pole!
 
Jidanganye... BIDEN IS BAD... see what the world will be...
We all gonna be FORCED TO RECEIVE RFID COVID 19 VACCINE. then we get Control. TUnakwenda kuwa watumwa kwa lazima . Kumbuka CORONA ni mpango wa China na Democrat kumuondoa TRIMP Madarakani maana kwa travk record aliyokuwa naye alishaanza kuifanya USA kuinuka kiuchumi kuliko Rais yeyote WA MAREKANI. But hawampeni kwa misimamo yake ILIYOKUWA INALINDA UHURU NA MAISHA YA WATU ... TRUMP os PrO LIFE.
Conspiracy theorist.

Nakushauri fungua podcast upige pesa ujue humu jf hata mbumbumbu atajifosi kua critical lakini youtube mambuzi mengi.

Fungua podcast ya hizi consipiracies upige mpunga.
 
Back
Top Bottom