Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Quran haujawahi kuzungumzia yesu nabii issa sio yesuMohamed alimuona Yesu? Quran ina mix mafaili kwamba mama yake Yesu alikua dada wa Aron msaidizi wa Musa. Quran haisemi Yesu alizaliwa wapi,alitokea kabila gani la Israel. Kwenye Quran haijulikani Yesu alikua na wanafunzi wangapi,wala majina yao .
Allah ni mmoja tuKwani wewe Mungu unamjua yukoje na ulimuona vipi kuwa yuko hivyo unavyoamini ili tuthibitishe kuwa Yesu si Mungu.
yesu hakuleta dini, kabla ya ujio wa Yesu watu walisali pia na hata hao watangulizi walijua ujio wake hata kabla yakeUnamuamini vip yesu ambaye kaja baada ya Mussa, Daudi 😅😅😅
Ina maana waliokuwepo kabla ya yesu kuja hawakuwa na dini sio?
Kama walikuwa na dini ilikuwaje? Nyie dini yenu imekuja baada ya Yesu kuzaliwa ina maana hapo ndio Mungu wenu kaanza kuwepo Duniani.
Waliokuwepo kabla walimuabudu nan? Mtu unasoma vitabu kabla ya yesu yaani zaburi na torat ..ina maana yesu sio wa wa kwanza 😅😅
Trivial points.....kuna mtu anasmulia ccm bendera zao ni za kijani na njano na mwingine akasimukia Ccm wana Rangi ya Mboga mboga.Huyo Aliyeishi Miaka 600 baadae angalau ameongea Vinavoeleweka Kuhusu Yesu Akina Marko Na Luka Wamedanganya sana Hata Ukisoma Wamepishana masimulizi Yao Mfano Kuhusu vazi la Yesu Wakati Anashurutishwa Kuna Mmoja Anasema Alikuwa Kavaa Vazi la Zambarau Mwengine Kasema Rangi Nyingine Sasa Unajiuliza Hivi Ni Kweli walikuwepo Au Ni Matapeli Tu waliotuzidi Akili
Hakuna uhusiano kati ya Nabii Issa wa Quran na Yesu Kristo mwana wa Mungu aliyezaliwa kwa Bikira Maria huko Nazareth.Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Haya yameandikwa na Mudi bado si uthibisho wa ni nani Mungu wa kweli. Kama hafanani na kiumbe chochote, kwa nini msimlizi wako hakuleta mchoro wake tujue picha halisi ya Allah asiyefanana na chochote?Allah ni mmoja tu
Allah ndo anaaabudiwa na kila kiumbe (kwa kupenda na bila kupenda)
Hakuzaa
Hakuzaliwa
Hafanani na kiumbe chochote
Hizo ndo sifa zake kuu, linga isha kwa yesu utaona namna file linacorrupt
Sasa mbona hao wa kabla ya yesu wanahubiri kitu kimoja na yule aliyekuja baada yake alafu nyie kwa upotevu wenu mnamuhubiria yesu kitu ingine kabisa.....yesu hakuleta dini, kabla ya ujio wa Yesu watu walisali pia na hata hao watangulizi walijua ujio wake hata kabla yake
Shule nayo ni muhimu!Haya yameandikwa na Mudi bado si uthibisho wa ni nani Mungu wa kweli. Kama hafanani na kiumbe chochote, kwa nini msimlizi wako hakuleta mchoro wake tujue picha halisi ya Allah asiyefanana na chochote?
Bila kujali imeandikwa na naniHaya yameandikwa na Mudi bado si uthibisho wa ni nani Mungu wa kweli. Kama hafanani na kiumbe chochote, kwa nini msimlizi wako hakuleta mchoro wake tujue picha halisi ya Allah asiyefanana na chochote?
Ulimuona amemzaa nani kama zote zinamkataa? Sifa ya hafanani na kitu chochote ni kwa imani yako na mudi maana biblia imesema akamuumba mwanadamu kwa mfano wakeBila kujali imeandikwa na nani
Hoja yangu katika sifa hizo nne ni ipi ambayo yesu anayo?? Zote zinamkataa
Huyu hawezi kuwa Mungu
Na bado kuna nabii mwingine huyu sijui itakuwaje kwa wafuasi wake miaka 500 ijayo 👇 TAZAMA DINI ZILIVYOHabari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Shule ni mhimu zaidi! Hasa kwenu nini waathirika kisaikolojia, unaambiwaje hafanani na kitu chochote ( huyo msimlizi wako alitoa wapi wazo hilo la yeye kutofanana na kitu chochote?). Pia kama kitu hakifanani na kitu chochote haimaanishi hakina image.Shule nayo ni muhimu!
Ukishachora si umeshafananisha jamani au hata kiswahili nacho chenga!
Na bado kuna nabii mwingine huyu sijui itakuwaje kwa wafuasi wake miaka 500 ijayo 👇 TAZAMA DINI ZILIVYO
View: https://www.youtube.com/watch?v=YDMTIpFio7o
Basi hatuwezi kumuamini yesu aliyekuja juzi ,tunamuamini Mungu wa Daudi ,Mussa ,issah(peace be upon him), Muhamad (Peace be upon him)yesu hakuleta dini, kabla ya ujio wa Yesu watu walisali pia na hata hao watangulizi walijua ujio wake hata kabla yake
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Ni kweli maana Mudi hana tofauti na mpinga kristu. Kwenye Qur'an alikuja kumuongelea Yesu badala ya kuongea ya Mungu anayemuamini ili waamini wake wasikae kujadili wa imani zingine ndo maana unakuta wanawakamata wanaokula nyakati hizi maana hawajiamini.HUMU LEO PATACHIMBIKA [emoji16]
NIMESOMA KOMENT WATU WAMEANZA KUJIBISHANA KISWAHILI SWAHILI TU NA KIMKATO
WATU WANASHINDWA KUJIBU KWA HOJA WALA VIFUNGU VYA MAANDISHI KUTOKA KWENYE QUR'AN NA BIBLIA.
ni upotevu wa waziwazi. vilevile,Habari wana theolojia.