Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

mimi pale ananichekesha ni anaposema, huko ahera watapewa mabikra 72 wawe wanafanya nao ngono, na hata akimfanya mapenzi huyo bikra, bikra yake haiondoki, hivi kweli mtu anakuja kukuambia hivyo halafu usishtuke kua anakudanganya? na zaidi ya yote, alipenda sana ngono na hasa ngono za watoto (pedophile) ndio maana alioa hata mtoto wa miaka 6 akazini naye akiwa na miaka 9. kutoa bikra kwake ilikuwa kitu cha muhimu mno. sasa kwa ahera, inakuwaje uingize uume kwenye uke wa mwanamke bikra, umfanye ngono hadi ukojoe, halafu abaki na bikra? kwanini mnadanganywa?
 
Putin kaonyesha kumbukizi kuwa yesu alikua mweusi kama Mbongo!!

Tuanzie hapo !ndio maana mimi huwa najiona muisrael kabisa aiseh!!full mwebrania!!
 
Mungu baba aliumba wanadamu, Mungu mwana akavaa uhusika wa binadamu na akatuokoa ktk dhambi zetu lkn aliushinda umauti hd akafufuka ktk wafu ndo maana mudi hawez kufufuka maana si lolote na Mungu roho mtakatifu anazidi kutulinda.
 
Jamaa alikuwa muwaza ngono sana. Zawadi anazowaahidi mamen ndo maana hawashauriki. Chezea kupewa bikra 72 wewe
 
Allah ni mmoja tu
Allah ndo anaaabudiwa na kila kiumbe (kwa kupenda na bila kupenda)
Hakuzaa
Hakuzaliwa
Hafanani na kiumbe chochote
Hizo ndo sifa zake kuu, linga isha kwa yesu utaona namna file linacorrupt
Mungu wa Wakristo sio yule wa Waislam. Mungu wa Hindus sio Yule wa Waislam wala Wakristo ...... akuna maana yeyote ya kubishana.
 
Attachments

  • IMG_4678.jpeg
    237.2 KB · Views: 7
  • IMG_3979.png
    517.5 KB · Views: 6
Reactions: 511
Mungu baba aliumba wanadamu, Mungu mwana akavaa uhusika wa binadamu na akatuokoa ktk dhambi zetu lkn aliushinda umauti hd akafufuka ktk wafu ndo maana mudi hawez kufufuka maana si lolote na Mungu roho mtakatifu anazidi kutulinda.

Mudi sio Mungu, yule ni mtume wa Mungu (alitumwa kufikisha ujumbe wa Mungu
Mungu wa Waislam anasifa zifuatazo;
Ni mmoja (pekee), hana mshirika, hajazaa wala hajazaliwa, hafanani na kitu chochote
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Mi siko.Upande wowote maana hata waislamu na wenyewe wana Maovu yao mengi tu na hakuna ushahidi wa Mtume.kuandika Quran..

Ila nina swali Unaweza kuthibitisha kuwa Hao uliowataja ndyo waandishi wa Biblia?

I ment Gospel Yenyewe Haijawahi kukiri Authentification wa hivyo vitabu .
 
Alafu wanasema Yesu,Musa,Ibrahim,Adam walikuwa Waislam! Akiwasoma hawa wote akuna ata mmoja aliesema yale aliyoyasema yeye wala kutenda kama alivyotenda yeye.... hii inafikirisha sana...... Kwenye Bibilia akuna sehemu yeyote ilionyesha Nabii yeyeyote yule kuwa na shiriki na Majini(mashetani) huku yeye anasema Majini ni Waislam na kuna mpaka Msikiti wa Majini...
 
Reactions: 511
Mudi sio Mungu, yule ni mtume wa Mungu (alitumwa kufikisha ujumbe wa Mungu
Mungu wa Waislam anasifa zifuatazo;
Ni mmoja (pekee), hana mshirika, hajazaa wala hajazaliwa, hafanani na kitu chochote
mungu anayeabudiwa pamoja na mjini, si shetani huyo? mungu anayesema kuna majini mazuri na mabaya, ni shetani tu huyo, ndio maana mashehe wenu asipokuwa mshirikina hawezi kuwa shehe, wauza dawa za suna, uganga wa kienyeji, ni dini hii, mungu wenu simtaki.
 
Mudi sio Mungu, yule ni mtume wa Mungu (alitumwa kufikisha ujumbe wa Mungu
Mungu wa Waislam anasifa zifuatazo;
Ni mmoja (pekee), hana mshirika, hajazaa wala hajazaliwa, hafanani na kitu chochote
Na ameahidi wanaume kupewa mabikra 72 na unaipga uwezavyo ila bikra hazitoki. Ni mwendo wa kuumiza bikra tu mtoto alie kadri awezavyo
 
unajua tafsiri ya vazi inamana gani kwenye bibilia,
 
Hayo ni mapungufu makubwa sana , haiwezekani kitabu kikamuongelea mtu ambaye ana umuhimu mkubwa sana kiimani bila background story. Waandishi walio compile na kuchapisha kitabu chenu kwa mara ya kwanza mwaka 1924 hawakufanya kazi nzuri hata kidogo.
 
Huyo aliyekuja around 600 AD ni wa kupuuzwa kabisa na ni wa mchongo
 
Shule ni mhimu zaidi! Hasa kwenu nini waathirika kisaikolojia, unaambiwaje hafanani na kitu chochote ( huyo msimlizi wako alitoa wapi wazo hilo la yeye kutofanana na kitu chochote?). Pia kama kitu hakifanani na kitu chochote haimaanishi hakina image.
Exactly Allah is beyond imagination!!!
Ndo maana nazid kukusisitiza hapo kwenye elimu mbona ni simple tu, Yeye ndo kasema hafanani na kitu chochote why ubishe?
 
Hayo ni mapungufu makubwa sana , haiwezekani kitabu kikamuongelea mtu ambaye ana umuhimu mkubwa sana kiimani bila background story. Waandishi walio compile na kuchapisha kitabu chenu kwa mara ya kwanza mwaka 1924 hawakufanya kazi nzuri hata kidogo.
Kaka quran sio just kitabu unachoweza kuamua kuandika tu, kila aya humo imewekwa kwa makusudio maalum, huyu Muhammad saw ndiye alikua akiambiwa ili atuambie sisi sasa inawezekanaje Allah aanze kumwambia historia yake ilihali watu waliomzunguka anaowahubiria wanamjua vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…