Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106]scania zipo ghari zaidi ya nissan...sasa hivi kuna toleo iriza iq 7 mpaka 10..kufika katika Nchi za Africa linagharimu usd 440,000 hapo sijui utapata nissan ud ngapu..hizo scania wanazitumia sana Wazambia jordan bus,shalom na madhandu yanatoka kitwe mpaka johannesburg na yapo confortable sana nadhani itatuchukua zaidi ya miaka 50 kuwa nayo haya kwa mfumo huu wa vitu vizuri ni Anasa...
Nasikia kuna ambayo ni Double Deker inanzia Kariakoo inapita ubungo kwenda Zambia na South Africa sina uhakika labda wanaosafiri Dar South watujuze.Kusema ukweli Tanzania tunaitaji tuwe na Luxury bus zaidi ya hizi mfano wa Luxury.scania zipo ghari zaidi ya nissan...sasa hivi kuna toleo iriza iq 7 mpaka 10..kufika katika Nchi za Africa linagharimu usd 440,000 hapo sijui utapata nissan ud ngapu..hizo scania wanazitumia sana Wazambia jordan bus,shalom na madhandu yanatoka kitwe mpaka johannesburg na yapo confortable sana nadhani itatuchukua zaidi ya miaka 50 kuwa nayo haya kwa mfumo huu wa vitu vizuri ni Anasa...
Mkuu shepherd zipo nyingi sema zinaanzia Lusaka to Johannesburg ni double decker juu na chini..Zambia hakuna Ajali nyingi kwa kuwa na ubora wa mabus sio mepesi kama hayo yetu wanabalance sana gari ipite mizani tuu na si balance na usalama kwa abiria...Marcopolo iriza iq 7-10 huwezi kulikuta likapinduka matairi juu kama hayo ya kuchonga yanavyoua watu kila kukicha...huyo anaekuja kupakia wazambia anawapeleka Kitwe ila ana bus zinazokwenda jozi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boko haramuidawa mbona hayo maroli ya Tanzania ndio yanaongoza kupinduka kule kila nikipita njia ile kutoka Kapirimposhi mpaka Nakonde unakuta yaliyopinduka ni mengi mpaka madereva wa kitanzania ea maroli wamewabatiza jina la Boko Haramu..
Actros inavuta mpaka tani100.....hii mashine ni shidakwa engine zilizopo Africa bora ni mercedes benz Actros,Man diesel
scania na Volvo hazijaachana sana hapo sasa ndio utaweka unayoyajua ukiondoa yale ya USA...Nissan ud wanatamani siku wawe bora kama Scania na si Scania watamani kuwa kama Nissan ud...hakuna ubishi Actros moja unachukua Scania mbili mpya sasa utasemaje Scania ni bora kuriko Actros au Nissan ni bora kuriko Scania...nissan ud 440 ukilitumia kubeba excalvator Cat 320 ni kama unaipa tabu lakini Scania yoyote hata zile za kizamani 113 mpaka R 420, R 500 na R 580 huo ni mzigo wake wa kawaida tuu...