Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ebu nenda Zambia uone maajabu ya skania scania huwez linganisha na gari ya kijapaninissan ud .ni gari roho ya paka haswaaaaa. scania mwenyewe haingii ukweli ni kuwa ni gari ambayo inaweza tembea umbali mrefu zaidi bila kuzimwa ili ipoe tofauti kbs na scania.
ukitembeza scania kama nissan ud utakuta imeyeyusha mpaka piston.
mm naona hapa suala la kuwa scania ni garama.ziwekwe pembeni sio kweli kuwa watu wanashindwa kuzifanya zipige long safari kisa ni bei gari kwani kuna scania ngapi ni basi?? zinapiga masafa mafupi??
inamaana wano piga masafa marefu ni maskini hawana.pesa ukilinganisha na wengine wanao piga masafa mafupi??