MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ha ha ha sawa mjumbeHata mimi nitapiga mkuu.
Watumishi wa umma kwa umoja wetu tutatoka na wenzi wetu na watoto wetu na majirani na wategemezi wetu kwenda kuhitimisha (appraisal) ya tuliowachagua walichotufanyia ambacho kina uhusiano mkubwa na kile kinachoendelea leo kwenye utumishi wetu wa umma.
Katika hili nakuahidi tupo pamoja (kijumbe zaidi)
Tumia haki yako kiuzalendoNitapiga kura Kwa sababu daraja la busisi, kigongo halijaisha.
Kumalizia daraja siyo uzalendo?Tumia haki yako kiuzalendo