MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Habari wana JF,
Kupiga kura ni haki yangu ki-katiba na kisheria, ni wajibu wangu pia kama raia, lakini zaidi ya yote ni fursa yangu kutumia haki yangu kuonesha hisia zangu (si hasira) kwa watu nilio waajiri (wanasiasa) kwamba wamefanya niliyowaagiza ama la.
Ni wakati wangu wa kuwatathmini (appraisal) na kuwapa stahiki yao.
Ewe mtanzania mwenzangu, tumia haki hii kiuaminifu na wewe utakua mzalendo wa ukweli. Tanzania kwanza. JITATHMINI, JIRATIBU NA UFANYE MAAMUZI SAHIHI