Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan wamemaliza ? Ziko sehemu uchaguzi bado.Nimeshangaa Sana wakenya milioni 12 Tu ndo wamepiga Kura baada ya milioni 22 kujiandikisha ..what happened?
SahihiTanzania walipiga milion 8 tu
Lakini sio kwa kura za RaisKwan wamemaliza ? Ziko sehemu uchaguzi bado.
Ni kweli ila mambo ni mengi hawawezi kupiga wote, hata hivyo wamepiga wengi kutuzidi sisiLakini sio kwa kura za Rais
Kwasababu wengine wako kwenye riadha common wealth games.Nimeshangaa Sana wakenya milioni 12 Tu ndo wamepiga Kura baada ya milioni 22 kujiandikisha ..what happened?
Why kiongozi ?Kwa kimombo inaitwa voter apathy. Kwa ufupi ni kwamba wengi wa wapiga kura hawakuona umuhimu wowote wa kushiriki kwenye shughuli hiyo. Mimi nikiwa mmoja wao, am sorry to say.
Uchaguzi wa awamu ya pili ni tofauti na wakwanzaTanzania walipiga milion 8 tu
Kila mkenya ambaye hakupiga kura alikuwa na sababu zake. Ila mimi binafsi ilikuwa ni kwamba sikuona mgombea yeyote ambaye alikidhi vigezo, vya kupata kura yangu/muda wangu. Sanasana kwenye nafasi za urais, ugavana wa gatuzi langu pamoja na ubunge.Why kiongozi ?