Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
 
ukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka.

20210503_131839.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
ukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka View attachment 1772007

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kumbe Nyalandu kichwani Hamna kit.

Yaani wajumbe walikuwa 30 tu,vNyalandu alipata kura zote 30, Lissu alipataje kura 24 wakati Nyalandu alipata zote?
Ndiyo maana Serikali iliiweka bangi kwenye kundi la dawa za kulevya.
 
Back
Top Bottom