jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Ndo maaana mnaishiaga kupigiwa kelele na wanaboda boda tu maaana mkipewa ushauri hamuelewagi.Umemaliza kuandika? Soma ulichoandika kisha jiambie " hakika nimefuzu ujinga"
Mjinga ni wewe Lazaro kasema ukweli chadema wanaubinafsi kuna genge la wahuni siyo wana siasa.Umemaliza kuandika? Soma ulichoandika kisha jiambie " hakika nimefuzu ujinga"
Kweli au sio kweli hawaaminiki??Ukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka View attachment 1772007
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ahhh! Bibie hujambo? Umeadimika sana siku hizi, nini shida?Walimwibia kura
Sasa wewe ndo umeandika upumbavu zaidi ya ujinga wa mwenye madaTangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo kama marehemu dikiteta magufuli, dikiteta magufuli asingeweza kupata kura hata moja mbele ya Membe.
We naye ni propesa LIPUMBASasa wewe ndo umeandika upumbavu zaidi ya ujinga wa mwenye mada
Ss si kweli kwani ni uongo? Yupo wap ss hivi....ukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka View attachment 1772007
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Njia ya muongo huaga fupi sana; halafu kipindi cha uchaguzi kulikwekwa UZI humu kumuhusu Nyarandu na wakongwe wa Chadema kutomuunga mkono, hence hawa nao hawakumpigia KURA, twende na uzi huo, pitia hapa Uchaguzi 2020 - Kwanini makada wakongwe CHADEMA hawampi sapoti Lazaro Nyalandu?ukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka View attachment 1772007
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kumbe Nyalandu kichwani Hamna kit.ukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka View attachment 1772007
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app