Kwanini nyama ya Nguruwe ni bora kuliko ya Ng'ombe?

Kwa Wale wa Arusha Piteni Meat King leo mjitwalie Kitimoto safi kabisa. Mie nshachukua kilo yangu chap.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kututisha nguruwe nimekula tokea nazaliwa hadi leo Nina afya ya ajabu na kuhusu swala la imani biblia imeweka wazi kuwa; Si kiingiacho kimtiacho mtu unajisi bali kitokacho.
 
Mzee umenena. Sisi huku tunanyang'anyana na waislamu mpaka tunaikosa hata nusu kilo! Afadhali mwezi Ramadhan ufike ili tujinafasi maana huo ndiyo mwezi pekee kitimoto inabaki buchani!
 
Acha kututisha nguruwe nimekula tokea nazaliwa hadi leo Nina afya ya ajabu na kuhusu swala la imani biblia imeweka wazi kuwa; Si kiingiacho kimtiacho mtu unajisi bali kitokacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
MAMBO YA WALAWI
MLANGO 11:7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
 
Mlaji wa Nguruwe hana tofauti na Cannibal

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
MAMBO YA WALAWI
MLANGO 11:7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Yesu alivibariki na kuvitakasa vyakula vyote tena akasema usikiite najisi chochote Mungu alichokiumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu alivibariki na kuvitakasa vyakula vyote tena akasema usikiite najisi chochote Mungu alichokiumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana Yesu alisema: Msidhani ya kuwa nalikuja kutangua torati au manabii, la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.(Mt. 5:17-18).

Aliye kuja kuruhusu kula nyama ya nguruwe alikuwa ni Nabii Paaulo kwa sababu yeye Nabii Paulo hafuati Sheria ya Torauti ya Manabii.

Hata hivyo, Nabii Paulo ndiye aliyekuja akaenda kinyume na shari’ah hiyo kwa kutoa agizo kwa barua aliyowaandikia Warumi:

“Basi, usiiharibu kazi ya Mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. Vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya aanguke katika dhambi” (Waroma 14: 20).

Pia, “Katika kuungana na Bwana Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi kwa asili yake” (Waroma 14: 14).

Paulo amesema tena kuwa kila kitu alichoumba Mungu ni chema wala hakuna kinachohitaji kukataliwa (1 Timetheo 4: 3 – 5).
 
MAMBO YA WALAWI
MLANGO 11:7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Wote mpo sawa kulingana na imani zenu cha muhimu kila mmoja atimize wajibu,anayeamin nguruwe si najisi bas ale na asiyeamin bas aache si wakat wa kulumbana japokuwa ni kwa hoja

Yesu alivibariki na kuvitakasa vyakula vyote tena akasema usikiite najisi chochote Mungu alichokiumba

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote mpo sawa kulingana na imani zenu cha muhimu kila mmoja atimize wajibu,anayeamin nguruwe si najisi bas ale na asiyeamin bas aache si wakat wa kulumbana japokuwa ni kwa hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Ipinge Biblia inavyosema kwa akili yako. ( MAMBO YA WALAWI
MLANGO 11:
7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8. Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.)

Mungu amekupa macho lakini huoni ukweli.Mungu huyo huyo amekupa akili lakini hauitumii ipasavyo na Mungu amekupa masikio lakini hausikilizi na kujuwa ukweli ni upi? Sijuwi utakwenda kusema nini siku ya hukumu mbele ya Mungu wako?
 
Ninachoamin nitaendelea kukiamin daima maana ndicho kitakachoniponya.Tafsiri ya vitabu vya Dini hasa Biblia si rahisi sana na Biblia ni pana sana inahitaj uwe na roho mtakatif ili uielewe vizur na kuizingatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mnatoka povu kwa dhambi ya kuzini na kula nguruwe lakini hamjui Jinsi dhambi ya usaliti na unafiki ndio iliyomuua yesu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoamin nitaendelea kukiamin daima maana ndicho kitakachoniponya.Tafsiri ya vitabu vya Dini hasa Biblia si rahisi sana na Biblia ni pana sana inahitaj uwe na roho mtakatif ili uielewe vizur na kuizingatia

Sent using Jamii Forums mobile app
Aya za Biblia zinapingana Agano la kale linakataza nyama ya nguruwe agano jipya nyie munalifuata linaruhusu nyama ya nguruwe sasa wewe unamini agano lipi kati ya hayo MA-Agano mawili?
 
kwenye miwa mbali sana mkuu. muulize kuhusu bata. huwa anakula?
Mkuu hajui kuwa matembele matamu ni Yale yanayopandwa uswahilini nyuma ya bomba la kutoka bafuni!!

Sent From fx.991
 
Aya za Biblia zinapingana Agano la kale linakataza nyama ya nguruwe agano jipya nyie munalifuata linaruhusu nyama ya nguruwe sasa wewe unamini agano lipi kati ya hayo MA-Agano mawili?
Ulichosema ni sahihi kabisa mdau,binafsi naamin Biblia yote ambayo ndan yake kuna agano jipya na la kale pia.
Ni kwel ulaj wa nguruwe umekatazwa kwenye agano la kale lakin agano jipya ikaruhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzizi mkavu ni msabato huyo.ushaambiwa kiingiacho haikimtii mtu unajisi ila kitokacho. chakula na ufalme wa mbingu wapi na wapi .tenda mema utafikia peponi vyakula ,kuoa sijui pombe hayo ni hapahap duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…