ntakisigae
Senior Member
- Nov 26, 2013
- 186
- 66
Nyama ya nguruwe ni nyama nzuri kiafya kwa sababu si nyama nyekundu sana na ni rahisi kumeng'enywa.
Nguruwe pia wana magojwa kama homa ya nguruwe, minyoo. Lakini ng'ombe wana magonjwa mengi na hatari zaidi kuliko nguruwe kama Sotoka, Minyoo (tegu), TB, kichaa cha ng'ombe, homa ya bonde la ufa, midomo na miguu nk.
Pia nyama ya ngombe ni nyekundu na ngumu, inaweza kusabisha Bawasili (Kutoka nyama sehemu ya haja kubwa) na pia kusabisha kukosa choo.
Kula Kitimoto kwa furaha na afya yako. Ni tamu, haikinai na pia ni nzuri zaidi kwa afya kuliko nyama ya ng'ombe!
Ukiweza tafuna na mifupa pia kwani inatafunika kirahisi utapata madini ya chuma, kalisiamu na fosifeti moja kwa moja, madini haya yanasaidia kuongeza damu na kuimarisha mifupa na meno.