kwanini aliihisi hivo? Mimi sikuwepo enzi za mwalimu kwa kweli lakini hii philosopy unazani ingeweza kuapply kwake? Si alikuwa anapendwa sana mwalimu enzi hizomandela anaweza kusema kaachia madaraka mapema.
Myerere kakaa miaka 23 kwenye power, huwezi kusema "kaachia madaraka mapema". Miaka 23 ni umri wa mtu aliyefikisha "age of majority" tayari.
Unachoweza kuuliza ni kwa nini aliachia madaraka bila ya kulazimika.
Jibu ni kwamba aliona kashindwa na kuendelea kungeharibu legacy yake kama "philosopher king" akajua principle ya quit while you can, before the masses causescu you brutally at the central square.
nashukuru kwa majibu mkuu swali langu ni kwamba kwanini asingeendelea kushikilia madaraka tu kama kina mugabe wanadai hawajaona watu wenye uwezo wa kuachiwa kuongoza nchi? Au huku kwetu kipindii hicho aliona watu wenye uwezo zaidi yake wapo?za-10 katoa majibu sahihi sana. Nyerere hakuachia madaraka mapema, alikaa madarakani kwa zaidi ya miaka 20; huo ni muda mrefu sanakwa kiongozi mwenye akili timamu kuendelea kuwapo madarakani ukitoa maamuzi makubwa ya kitaifa. Alikuwa anaplani kuachia madaraka mwaka 1980 baada ya kuunganisha tanu na asp, na akafanya mojawapo ya majukumu yake katika kipindi cha 1975-1980 kuwa ni kuunganisha tanu na asp, jambo ambalo lilikamilika mwaka 1977 chini ya usimamizi wa pius msekwa. Hata hivyo ile vita ya mwaka 1979 dhidi ya amin iliharibu mambo mengi kiasi kuwa nyerere alisema ataendelea kuyasimamia tena kwa miaka mingine mitano, ndiyo maana mwaka 1985 akaondoka ingawa alikuwa hajayanyoosha mambo hayo.
Uchumi wa Zimbabwe ulikuwa mzuri tu hadi hivi majuzi baada ya Mugabe kuya seize mashamba ya mabepari wakizungu.nashukuru kwa majibu mkuu swali langu ni kwamba kwanini asingeendelea kushikilia madaraka tu kama kina mugabe wanadai hawajaona watu wenye uwezo wa kuachiwa kuongoza nchi? Au huku kwetu kipindii hicho aliona watu wenye uwezo zaidi yake wapo?
Nadhani kilichomfanya aachie madaraka mapema ni baada ya kuona sera zake za ujamaa na kujitegemea zimefeli na hivyo akaamua kuwaachia wenye mawazo mbadala..
nashukuru kwa majibu mkuu swali langu ni kwamba kwanini asingeendelea kushikilia madaraka tu kama kina mugabe wanadai hawajaona watu wenye uwezo wa kuachiwa kuongoza nchi? Au huku kwetu kipindii hicho aliona watu wenye uwezo zaidi yake wapo?