Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ya Mwalimu kwasasa hayawezi kufanya kazi. Dunia imebadilika uchumi unaongozwa kwa nguvu ya soko.
Hapana ndugu yale mawazo ya mwalimu yangukua yametumiwa kwenye mfumo wa sasa naamini tungekua mbali mno, we sikiliza tena nakusikiliza hotuba zake utaelewa.Mawazo ya Mwalimu kwasasa hayawezi kufanya kazi. Dunia imebadilika uchumi unaongozwa kwa nguvu ya soko.
Ntaeleza kwa ufupi kwa kadri ya uelewa wangu....duh,ilikuwaje?
duh..........huyu mzee...Ntaeleza kwa ufupi kwa kadri ya uelewa wangu....
Sera ya vijiji iliasisiwa na Mwl Nyerere ili kuwaunganisha watu wakae pamoja ili waweze mashamba makubwa ya Ushirika.
lee na shamba lake ila umpe utaratibu wa kulima mashamba ya ushirika?
Mkuu hii ndo sababu kubwa ya nchi kuingia katika hali ya kuporomoka kwa uchumi na nchi kuingia kwe njaa kali hii nayo ilimsumbua sana Mwl hata kuanza kuipigia magoti Magharibi!!
Mawazo ya namna hiyo ndo yanapigiwa chapuo leo,imetengenezwa hi breed ambapo mrengo wa shoto na kulia zimeunganishwa.Hata rais mteule wa dunia anaongelea ustawi wa watu wa taifa lake,hapa kwetu ningesema Rais Magufuli anafanya hivyo lakini yeye ni maneno tuu vitendo ni tofauti.Mawazo ya Mwalimu kwasasa hayawezi kufanya kazi. Dunia imebadilika uchumi unaongozwa kwa nguvu ya soko.