yusufu SAidy
Member
- Oct 18, 2015
- 53
- 42
Aaaaaah most of the woman wa humu ndani wanakimbia matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.
unapata dhambi lakiniBlocku tu
Hahahhaaa....una vituko wwDear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.
Yangu iko waz ukitaka pic yangu njoo pm ila hizi za humu mmmh! Nyingine fekiDear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.
Unamaanisha nini mkuuuUfunge PM uwe mzuri basi,,,sio Bibi huyu hapa.
NB (Sijawahi ingia PM kwa mtu kutongoza)
Blocku tu
Ni blokuHebu nijaribu kukutumia ili nione kama ni miongoni mwa hao watu watatu ama laa.
PM ndo nini???.......UnaniPM kwani mimi ni Paprika!??[emoji1][emoji1][emoji1].......kuweka mambo hadharani ndo mpango mzima![emoji1][emoji1][emoji1]Sio kweli kwanza nili ku pm hujajibu naona ndio fix zenyewe
Et naomba ni saidie pm ni nini?Daby mbona mm pm yangu ipo wazi sihusiki kabisa na hii topic
Kweli ngoja nisave kabisa na nisubscribe huu uziAhahahhaahha halaf weweee lo ,ipo siku utaniita kunionyesha ujinga wa watu humu utasema nimesema kweli tunza maneno yangu