yusufu SAidy
Member
- Oct 18, 2015
- 53
- 42
Aaaaaah most of the woman wa humu ndani wanakimbia matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.