aanajaribu kujiuliza... mtoa mada amejuaje kama huyu mrembo mfano miss chagga aanafaa kwenye matangazo wakati avatar yake kuna ua tu!
Nipeleke shogafunguo ninazo mm kwa wanawake [emoji23][emoji23]
Nakupeleka shoga usijal [emoji23]Nipeleke shoga
Wanawake wanaofunga pm hawana mvuto, ni vibibi, au ni ma-polygon, ila wameweka Avatar za kuvutia.Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Wanawake wa jf wanatoka sayari gani mkuu?maana hawa wa humu ndio wa mitaan na wa mitaan kwenu wabayaaWanawake wanaofunga pm hawana mvuto, ni vibibi, au ni ma-polygon, ila wameweka Avatar za kuvutia.
Halafu JF hamna wanawake wazuri, humu kumejaa mianamke iliyokwishachuja.
Si ndio maana mnafungiwa.Aah wapiiii, unakuta mmeanza tu urafiki hata week haijafika mizinga hiyooo
Hamjambo?hahahah juzi kwenye uzi wa nichane kuna jamaa aliuliza hivi watu humu wanaitana mababy humu ni kweli wanakulana au kufurahisha jukwaa
husna akamquote [emoji23][emoji23] akamwambia mm na Daby wangu tunakulana kiukweli ukweli labda wengine nilicheka kimya kimya husna nakubali harakati zako sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
That's my baby. Chezea toto la kimaaaakonde wewe.
Hatujamb....marahaba mdogo wanguHamjambo?
Bora mnifungie tu kwa kweli ila sio kwa kunipiga mizinga ya kizembeSi ndio maana mnafungiwa.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Hatujamb....marahaba mdogo wangu
Haha... kama umechukia vile..sasa ungekuwa mkubwa ingekuaje[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mbona unanidogosha ila sioni matunda? Au hauna matumizi na huo udogo wangu?Haha... kama umechukia vile..sasa ungekuwa mkubwa ingekuaje
Ninao tena saana. Tatizo nikikusogelea unamwita mmeo. Tabia mbaya hiyoMbona unanidogosha ila sioni matunda? Au hauna matumizi na huo udogo wangu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ninao tena saana. Tatizo nikikusogelea unamwita mmeo. Tabia mbaya hiyo
Sasa kwa maneno yako hayo unafikiri tutatumiana sasa![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huyu mwanaume sijui kanirogaaa!! Maana sio kwa kumpenda huku!
Kwani kuna mpango wa kutumiana? Nakusemea kwa Husna.Sasa kwa maneno yako hayo unafikiri tutatumiana sasa!
Nitaghairi mimi.
Mipango ipo...Kwani kuna mpango wa kutumiana? Nakusemea kwa Husna.
Oooh kumbe!!! Lini sasa tunatumiana?Mipango ipo...
Husna ni mod mpya kaajiriwa au![emoji125] [emoji125] [emoji125]