Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Wanawake wanaofunga pm hawana mvuto, ni vibibi, au ni ma-polygon, ila wameweka Avatar za kuvutia.

Halafu JF hamna wanawake wazuri, humu kumejaa mianamke iliyokwishachuja.
 
Wanawake wanaofunga pm hawana mvuto, ni vibibi, au ni ma-polygon, ila wameweka Avatar za kuvutia.

Halafu JF hamna wanawake wazuri, humu kumejaa mianamke iliyokwishachuja.
Wanawake wa jf wanatoka sayari gani mkuu?maana hawa wa humu ndio wa mitaan na wa mitaan kwenu wabayaa
 
hahahah juzi kwenye uzi wa nichane kuna jamaa aliuliza hivi watu humu wanaitana mababy humu ni kweli wanakulana au kufurahisha jukwaa

husna akamquote [emoji23][emoji23] akamwambia mm na Daby wangu tunakulana kiukweli ukweli labda wengine nilicheka kimya kimya husna nakubali harakati zako sana
Hamjambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
That's my baby. Chezea toto la kimaaaakonde wewe.
 
Mipango ipo...

Husna ni mod mpya kaajiriwa au![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Oooh kumbe!!! Lini sasa tunatumiana?
Mie hata sijui ni nani huyo mmakonde.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom