Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hatujambo shikamoo dadaHamjambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatujambo shikamoo dadaHamjambo?
na avatar hiyo sijui wanaanzaje kukupiga mizinga waache kumpiga Daby na avatar yakeBora mnifungie tu kwa kweli ila sio kwa kunipiga mizinga ya kizembe
ndio mana tunawafungia hatutaki mtuoneWanawake wanaofunga pm hawana mvuto, ni vibibi, au ni ma-polygon, ila wameweka Avatar za kuvutia.
Halafu JF hamna wanawake wazuri, humu kumejaa mianamke iliyokwishachuja.
KhaaaaaMipango ipo...
Husna ni mod mpya kaajiriwa au![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha.Oooh kumbe!!! Lini sasa tunatumiana?
Mie hata sijui ni nani huyo mmakonde.
Mimi napenda kombora sitaki vimizingana avatar hiyo sijui wanaanzaje kukupiga mizinga waache kumpiga Daby na avatar yake
hivi unaanzaje kumpiga mizinga mtu na avatar ile [emoji23] wana moyo kweliMimi napenda kombora sitaki vimizinga
Marahabaaaaa!hatujambo shikamoo dada
Weeeeeeh!!! We siwezi kukufanya kwa matumizi ya kudumu bwana, ujue hata nami nina moyo!!Hahaha.
Kwani si matumizi ya kudumu? Au tunatumiana halafu unanidump?
Ole wako ukaseme weweKhaaaaa
Nisaidie kushangaa mama.Khaaaaa
Hahaha....hivi unaanzaje kumpiga mizinga mtu na avatar ile [emoji23] wana moyo kweli
hilo ni jipu [emoji23]Weeeeeeh!!! We siwezi kukufanya kwa matumizi ya kudumu bwana, ujue hata nami nina moyo!!
Sema haujanijaribu uone nilivyomtamu.Weeeeeeh!!! We siwezi kukufanya kwa matumizi ya kudumu bwana, ujue hata nami nina moyo!!
nasema au mwenyewe atakuja kujioneaOle wako ukaseme wewe
husna atakuja kujioneaNisaidie kushangaa mama.
Tatizo sio utamu shemeji.Sema haujanijaribu uone nilivyomtamu.
Huku mbali hafikinasema au mwenyewe atakuja kujionea
Tena jipu la kudumu, haliivi wala halitumbuki, linauma tuuu.hilo ni jipu [emoji23]