Kwanini Nyimbo za Diamond Zinawahi Kuexpire?

Kwanini Nyimbo za Diamond Zinawahi Kuexpire?

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Kabla ya kutoa Zilipendwa alikuwa amemaliza kutoa nyimbo mbili Fire na Eneka ambazo hata hivo zilichukua siku chache kabla ya kuexpire.

Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba kuachia wimbo wake Wa Seduce me, Diamond naye akishirikiana na Timu yake ya Wasafi waliachia ngoma ya Zilipendwa. Cha kushangaza ngoma ya Ali Kiba bado imezidi kushika chati kwenye uwanja Wa Muziki, lakini zilipendwa ndio imeshapotea na sasa Mond ameamua kuachia kibao kingine " Hallelujah" ambacho kwa sasa ndicho kimeingia huku kikiikuta Seduce me ikiwa bado imeshika chati. Sasa seduce me inapambambana na Hallelujah siyo Zilipendwa tena!!!

Kwa nini nyimbo za Diamond zinawahi kuexpire haraka?
karibu kwa maoni
 
Nadhani hajaweka mpango madhubuti wa kuachia ngoma zake...Hilo la 'bandika bandua' linasababisha kuchuja kwa nyimbo ingawaje anajivunia Views nyingi huko Youtube...

Nadhani umefika wakti muafaka yeye na uongozi wake kukaa na kubuni mikakati mizuri ili kuwa na uwiano mzuri wa kuachia ngoma kitu ambacho kitaepusha hii minong'ono ya baadhi ya mashabiki zake na sisi wadau wengine wa muziki
 
Yah Kuexpire kwa nyimbo kunasababishwaa na uwepo wa Nyimbo nyingne mpyaaa nikiwa na maana Kma Asingetoaa nyimbo yyte basi nyimbo yake still ingeonekana ipo juu Hapa pia hata ali nae akitoa nyimbo nyingn hii seduce me inaonekaana haifai, La msingi ni kueshimu anachofanya na pia kutoa mchango kwa ajili ya kukuza jina la mziki wa tanzania lakini pia kuiwakilisha taifa katika nyanda za ulimwengu, Kubwa la msingi ambalo li aonekana hapa ni ubishani wa mashabiki ndo unaleta misemo na mambo tofauti katika soko la muziki wa tanzaniaa....

Mwisho kabisaa Kma Akitoa nyimbo Kila asubuhi au hata kila siku ni yeye mwenyewe kikubwa Anafata taratibu za taifa na wala hamkashifu mtu, Sawa na Aslay nae anatoa nyimbo mfulilzo tulikuwa hatujui nia yake lkn baada ya kuja kufahamu tunaamini ni haki na sahihi kutoa nyimbo kila siku...
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Team roboti watakavyokujia juu na uzi utaomba ufutwe hihihihiiii
 
Mziki wa kwenu ndio mmejijengea hivyo ,lkn soko la kimataifa linataka kila mara usikike na ndio maana wizkid, olamide, davido, Casper nyovest, aka, yemi alade wanaachia nyimbo kila siku na kuchuja kwa nyimbo inategemea na mtu kwani usichokipenda ww usikitie hila, mm kwa nyimbo zake ukiitoa eneka zote nazikubali na hazikosagi ktk playlist ktk PC yangu na ukae ukijua hakuna msanii ambaye nyimbo zake zinapigwa na kuombwa sana ktk masherehe kama diamond platnumz ,sasa sijajua labda unazungumzia kuchuja gani.
 
Kuna soko la ndani na kuna soko la nje.Zilipendwa ni soko la ndani hallelujah ni kwa ajili ya soko la nje.

Kuwahi kuchuja ni kitu cha kawaida kwa muziki wa sasa,sio bongo tuu hata huko USA kunaposifika kwa kukua kwenye muziki.
 
Nnchokiona ni mfumo wa muziki kidunia umebdilika c diamond tu hat wasanii wakubwa wanafanya hvi ili waspotee
 
Ba2 Tipha anamanyimbo mengi sna aliyoyatunga yapo tu kabatin yamejaaa!! hadi yanamwagika so yanamuwasha ndo maana kila mwez dude juu ya dude.
 
Mkuu kitu cha kichawi huwa hakidumu kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom