Za ki CHINA
Labda za alikiba.. Mbagala has & will always be a hit, kamwambie, ukimuona, etc
Sio tunataka aporomoke tunataka aimarike akitoa uzi usichoke haraka kama ilivyo kwa sasa 2 weeks nyimbo haipo kwenye ramani imepotezwa kabisaaaaaKwanini watanzania mnataka diamond aporomoke kisanaa na kwisha kabisa ??
Michael Jackson alikuwa anakaa miska ndio anatowa album na hakuna aliyevunja rekodi yake mpaka leo, je hili unalisemaje?Mziki wa kwenu ndio mmejijengea hivyo ,lkn soko la kimataifa linataka kila mara usikike na ndio maana wizkid, olamide, davido, Casper nyovest, aka, yemi alade wanaachia nyimbo kila siku na kuchuja kwa nyimbo inategemea na mtu kwani usichokipenda ww usikitie hila, mm kwa nyimbo zake ukiitoa eneka zote nazikubali na hazikosagi ktk playlist ktk PC yangu na ukae ukijua hakuna msanii ambaye nyimbo zake zinapigwa na kuombwa sana ktk masherehe kama diamond platnumz ,sasa sijajua labda unazungumzia kuchuja gani.
Kwa fact gani maana ata youtube mshapitwa viewz....kitaani ndo usiseme....au mnajitekenya na kucheke wenyeweSio tunataka aporomoke tunataka aimarike akitoa uzi usichoke haraka kama ilivyo kwa sasa 2 weeks nyimbo haipo kwenye ramani imepotezwa kabisaaaaa
Sio tunataka aporomoke tunataka aimarike akitoa uzi usichoke haraka kama ilivyo kwa sasa 2 weeks nyimbo haipo kwenye ramani imepotezwa kabisaaaaa
Kwa fact gani maana ata youtube mshapitwa viewz....kitaani ndo usiseme....au mnajitekenya na kucheke wenyewe
Unajua maana ya kuchuja nyimbo? Nyimbo inaweza ikokosa views kabisa likin hata kama ukasikiliza baada ya mwaka 1 unaona bado ni madini sio. Kuwa na view wengi ndio kuto chuja?Kwa fact gani maana ata youtube mshapitwa viewz....kitaani ndo usiseme....au mnajitekenya na kucheke wenyewe
Unajua maana ya kuchuja nyimbo? Nyimbo inaweza ikokosa views kabisa likin hata kama ukasikiliza baada ya mwaka 1 unaona bado ni madini sio. Kuwa na view wengi ndio kuto chuja?
Hao ni weupe wako kwa ajili ya kubisha tu. Tusiwajengee hoja watatuchukia na kutuona ss tunamsema mond kwa ubayayaani hawajui kama mtu nayeenda kuview anakuwa pengine hata hajausikia/kuuona huo wimbo so anaangalia huyu msanii kaimba nini? ili kupata maoni juu ya ubora Wa wimbo huo labda umhoji
Hukuna uhusiano kati nyimbo kuchuja na uwepo views wengi YouTubeHii fact ya viewers Wa you tube huwa ni hoja dhaifu maana you tube hata jambazi akiwekwa anaangaliwa tena na watu wengi hata kama alikuwa akimpiga mtu risasi!
Bas almashauri ya kichwa yako haikukushauri kabla ya kuandika uzi huu hapahakuna anayemchukuia bali kinachoongelewa hapa ni uhalisia! poor you!
hiyo ilikuwa kizamani,biashara ya mziki imebadilika sasa hivi,ushindani mkubwa sokoni,sasa ukiona ngoma imeanza kupoa tu unadondosha nondo nyengine unarejesha uzima wa watu!Michael Jackson alikuwa anakaa miska ndio anatowa album na hakuna aliyevunja rekodi yake mpaka leo, je hili unalisemaje?