Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mtu yeyote anayejiita boy ni mvulana, nadhani nadebate na wrong person.hiyo ilikuwa kizamani,biashara ya mziki imebadilika sasa hivi,ushindani mkubwa sokoni,sasa ukiona ngoma imeanza kupoa tu unadondosha nondo nyengine unarejesha uzima wa watu!
seduce iko wapi sasa hivi? aje? hiyo ya dada dimpoz hata kusikika haisikiki kabisaaaaaaa....usitumie wowowo kuwaza.Kabla ya kutoa Zilipendwa alikuwa amemaliza kutoa nyimbo mbili Fire na Eneka ambazo hata hivo zilichukua siku chache kabla ya kuexpire.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Siku Mona baada ya Ali Kiba kuachia wimbo wake Wa Seduce me, Diamond naye akishirikiana na Timu yake ya Wasafi waliachia ngoma ya Zilipendwa. Cha kushangaza ngoma ya Ali Kiba bado imezidi kushika chati kwenye uwanja Wa Muziki, lakini zilipendwa ndio imeshapotea na sasa Mond ameamua kuachia kibao kingine " Hallelujah" ambacho kwa sasa ndicho kimeingia huku kikiikuta Seduce me ikiwa bado imeshika chati. Sasa seduce me inapambambana na Hallelujah siyo Zilipendwa tena!!!
Kwa nini nyimbo za Diamond zinawahi kuexpire haraka?
karibu kwa maoni
we si mzima kichwani...kwa hiyo unatake serious hizi fake ID? in the internet you dont know if you are communicating with a dog...Mtu yeyote anayejiita boy ni mvulana, nadhani nadebate na wrong person.
No matter what, ID peke yake inadefine who are you..we si mzima kichwani...kwa hiyo unatake serious hizi fake ID? in the internet you dont know if you are communicating with a dog...
Kweli tunatofautiana mimi eneka naipenda kuliko zilipendwaMziki wa kwenu ndio mmejijengea hivyo ,lkn soko la kimataifa linataka kila mara usikike na ndio maana wizkid, olamide, davido, Casper nyovest, aka, yemi alade wanaachia nyimbo kila siku na kuchuja kwa nyimbo inategemea na mtu kwani usichokipenda ww usikitie hila, mm kwa nyimbo zake ukiitoa eneka zote nazikubali na hazikosagi ktk playlist ktk PC yangu na ukae ukijua hakuna msanii ambaye nyimbo zake zinapigwa na kuombwa sana ktk masherehe kama diamond platnumz ,sasa sijajua labda unazungumzia kuchuja gani.
Hiyo ni hoja dhaifu sana maana kila mtu ana sikio lake, ww unaweza kuona huu wimbo umechuja lkn mwingne ndo anaona bado kabisa.Unajua maana ya kuchuja nyimbo? Nyimbo inaweza ikokosa views kabisa likin hata kama ukasikiliza baada ya mwaka 1 unaona bado ni madini sio. Kuwa na view wengi ndio kuto chuja?
Kwenye masharehe kama harusi kichen part n.k hata kwny vyombo vya usafiri nyimbo za mond ndo zinapigwa sana ukilinganisha na za kiba sasa huwa najiuliza uyu wanaedai nyimbo zake zinachuja haraka mbn ndo zipo juu kwny izi angle.Nyimbo inayopendwa sana ndiyo inayochuja mapema kama suruali unayoipenda inavyowahi kuchakaa, kuna nyimbo kama sorry ya beiber, Loyal c brown, do me p square, nk Zimechuja sababu ya kupendwa na kusikilizwa sana Diamond is a hell of a musician
Nyimbo gani ??Sio tunataka aporomoke tunataka aimarike akitoa uzi usichoke haraka kama ilivyo kwa sasa 2 weeks nyimbo haipo kwenye ramani imepotezwa kabisaaaaa
Kama yapi ??Kazidi mashauzi....[emoji23] [emoji23]
Nilijua mtanivamia tu hahaha...mkuu Nimetoa mtizamo kama mdau wa muziki na sio Hater elewa hivyoSie hatuna minongo'ono mkuu munananong'ona nyie mahators wake
hahaha nahisi now vitakua vimekatika Si sugu tenaMtaandika nyuzi mpk vidole viote sugu