Kwanini Nyota wa Soka wa Amerika Kusini wanachukiana Ulaya?!

Ugumu wa maisha. Waafrika hatuzidiani nao sana hao jamaa kwa chuki na roho mbaya kwa sababu wote tuna maisha magumu, japo sisi tumezidi hasa kwa sababu magumu yetu yapo juu zaidi.

Umasikini na chuki + roho mbaya ni kama chupi na tako. Hata ushirikina upo kwa masikini. Jamii za matajiri hazina ujinga huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatusimanga kama tuliamua au kupanga wenyewe vile hayo mambo ya kuzaliwa,,kuzaa,,na kuzaliana!!Mleta thridi mafii Yakee
Kumbe watoto wadogo muko wengi enhh!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo sahihi, hizo bifu ni sababu ya maslahi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…