Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Incomplete research! Fatilia kwanza wanaouza Wana sifa gani. Wazaramo Hao, ndio haohao waliiuza Kariakoo.. Wakahamia Ilala, wakaiuza Ilala wakaenda Chanika. Wanaouza hiyo Chamazi wanaenda kununua Kiponza. Na Kiponza ikianza kuchangamka Wanauza wanaenda SweleleWajuzi wa mambo habari zenu.
Nimefatilia sana nyumba za mtandaoni nimegundua nyumba nyingi zinauzwa Mbagala, Chamazi, Chanika, nmejiuliza sana sijapata jibu naombeni majibu wakuu.
Nawasilisha
UONGONyingi ni jenga uza,
Shimo la choo ni futi 4
Matofali ya udongo, ila plasta kalii
Nyaya za umeme ni zile za rangi rangi za spika za sh.500 kwa mita
kenchi za mbao za minazi ambazo hazijakomaa vizuri
Kuwa makini
UnatuogopeshaKabla ya kununua kiwanja au nyumba, chunguza kwa makini kuhusu uswahili wa sehemu husika. Kama huwezi usinunue, utapigwa kipapai cha kisawasawa.
WHY? Ardhi in any incumbrancesChanika, Mbagala, Mkuranga, Vikindu, Kigamboni invest at your own risk
Hadi mtu anajuta kwa nini alijenga nyumba,kero za kufuatiliana maisha,makelele ya vigodoroWanakimbia uswahili..walijenga wakidhani ni ushuani kumbe uswahili mtupu.
Kuishi na jamii za kiswahili low minded people yataka moyo..kila wikiendi hakuna kulala ni mwendo wa vigoma tu.
#MaendeleoHayanaChama
Hiyo inaweza kuwa kweli..Hizo nyumba zinaitwa jenga uuze ni kimeo balaa mfuko wa cement mmoja wanatoa matofali mia mbili..
Duh kuna watu wanasaka hela vibaya aiseeHizo nyumba zinaitwa jenga uuze ni kimeo balaa mfuko wa cement mmoja wanatoa matofali mia mbili..
Roho zinazokaa hapo zitaamua hatma yako, kama utazishindq sawa ila zikikushinda hatma yako itakuwa sawa na uliowakuta hapoWHY? Ardhi in any incumbrances
Tofali biskuti.Mkuu hizo ni nyumba zisizochukua muda kukamilika na kama utamchukua mkaguzi wa majengo jibu atakalokupa ni kuamuru kubomoa tu haifai kwa matumizi ya binadamu. Nyumba zinajengwa kwa ajili ya biashara na sio kuishi wao.
[emoji23][emoji23][emoji1]Wengi ni kutaka mtelezo, "duuh hii nyumba bei rahisi"
Ukiingia tu unaita gari la mavi kila baada ya miezi 6
Mkuu kashuhudie huko kuna nyumba nyingi balaa .kwa nje zinawaka hatari.nadhani coral paint wanabiga hela huko balaaNipo katika huu uzi kwa ajili ya kusoma maoni ya watu
Halooo uongo dhambi rafiki.Hizo nyumba zinaitwa jenga uuze ni kimeo balaa mfuko wa cement mmoja wanatoa matofali mia mbili..