Kwanini nyumba za Marekani zinawekewa bendera nje?

Kama sio AI labda kwa sababu wengi ni wahamiaji lazima wajifanye wazalendo.
Kama bongo na ile bendera ya chama kile.
Ngoja waje wa US weusi waje watujuze kwa kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…