Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
-
- #21
ziwe na utamaduni wa hivo sema labda ni policy au sera ya nchiNi utamaduni wao tu.
ohoooNchi ambayo inajali wananchi wake ni kawaida kuweka bendera ya taifa husika tofauti na Tanzania ambayo viongozi huwateka wananchi na kuwauwa na kuwafanya waichukie Nchi yao
Yaan😂😂😂sisi za kwetu tumeweka bendera ya Israeli.
Mkuu umejibu kitaalam sana Mungu akuwekeMbali na utamaduni pia zinawekwa nje ya nyumba za retired civil servant na askari/ama wanajeshi wastaafu...
NB:Nilidokezwa tuu
AiseeWao kwao taifa Lao kwanza ndo mambo mengine yanafuata, angalia hata mikutano yao ya kampeni, bendera ya taifa inatawala
ohooo nalo nenoHizo hizo au na nyingine.
Hizo ukute ndiyo nyumba za police au za msajili
Kwan akikuelimisha ndo umfukuze??Nenda ukaishi kwa wazungu
Hata mimi huku Tanganyika Masagati nimeweka bendera ya Somalia nje ya hekalu langu.Wakuu mnijibu
Hivi kwanini nyumba nyingi za Marekani zinawekewa bendera nje?
Hili nalo neno haswaaIts simple, they are proud of their country na misingi yake.
Hufanya hivyo kama ishara kutuma ujumbe dhidi ya jamii na itikadi vamizi dhidi ya misingi ya marekani
Mungu afanyeje.......Mkuu umejibu kitaalam sana Mungu akuweke
mkuu kumbe ww ni wa sanya, nimepakumbuka homboy.Nenda pale ubalozi wa Marekani kawaulize hili swali? Unatuuliza sisi wa huku Sanya juu jibu tunalitoa wapi
Hivu Tanzania unakatazwa kuweka Bendera?Wakuu mnijibu
Hivi kwanini nyumba nyingi za Marekani zinawekewa bendera nje?
Kwanini kwenye uchaguzi hawatumii bendera za vyama! Wamarekani wanaipenda sana bendera yao, hata wageni toka huko huwa na vibendera vidogo vya nchi yao, wao ni ID CARD yao.Wakuu mnijibu
Hivi kwanini nyumba nyingi za Marekani zinawekewa bendera nje?
Haukatazwi, ila ukiweka ya taifa utakamatwa.Hivu Tanzania unakatazwa kuweka Bendera?