Duh unadhani ni photoshop?Kwa hiyo na wewe hizo picha unaamini ni Nyumba halisi zilizopigwa picha hapo.
Sahihi kabisa.Wana uhuru na demokrasia hivyo wanaipenda nchi yao ,rais unaruhusiwa kuvaa hadi gwanda za jeshi fresh na wala hauulizwi wala kupigwa.
hata ivo hujaulizwa ww kimbele mbele tubabalevo ,kwann usiwaulize unaoshinda nao huko nahao
imeingia hiyo be calmhata ivo hujaulizwa ww kimbele mbele tu
wameulizwa wanaojua we unajua nn sasa kama siyo taarbu tu
Tayari nilishalizungumzia hili jambo toka 2019!Kwakua umeshindwa kwenda www.google.com ngoja nikuitie wanaoishi huko wake wakuelimishe Bufa , Kiranga, Nyani Ngabu, Graph, Mzee Mwanakijiji mpeni Elimu huyu.
We huoni? Au Kwa sababu ushaambiwa ni marekaniDuh unadhani ni photoshop?
Mbona tunaweka ofisini na kwenye magari hatukamatwi?Haukatazwi, ila ukiweka ya taifa utakamatwa.
wamarekani wanapenda sana kuonyesha uzalendo wao, kama vile unavyoweka sticker ya timu yako ya mpira kwenye gari. Ni kama kusema, "Hii hapa, mimi ni mzalendo wa nchi yangu, na bendera ndiyo ushahidi!" Tafsiri rahisi: wanapenda kuonyesha mapenzi yao kwa nchi kama vile ambavyo sisi tunavyopenda kuweka bendera ya Yanga au Simba mlangoni ili jirani ajue uko timu gani! ๐Wakuu mnijibu
Hivi kwanini nyumba nyingi za Marekani zinawekewa bendera nje?