Wadau labda ni mimi tu lakini sijaelewa ni kwanini nyumba za NHC ni ghali sana ukizingatia kwamba hawanunui viwanja na hawalipi tax.
NHC wanabomoa nyumba ambazo Watanzania wanapanga kwa bei nafuu na kutengeneza nyumba kwenye viwanja hivyohivyo nyumba za bei ya juu sana bila kujua sababu ya gharama ya juu.
Kama kweli NHC ni shirika la serikali na linapata viwanja bure na wakati mwingine kuchukuwa viwanja vya Watanzania kwa manufaa ya uma basi wawekewe kiwango cha faida mfano gharama za ujenzi +15% badala ya utaratibu wa sasa ambao ni wa kuleta faida zaidi badala ya kusaidia wananchi.