Wadau labda ni mimi tu lakini sijaelewa ni kwanini nyumba za NHC ni ghali sana ukizingatia kwamba hawanunui viwanja na hawalipi tax. NHC wanabomoa nyumba ambazo Watanzania wanapanga kwa bei nafuu na kutengeneza nyumba kwenye viwanja hivyohivyo nyumba za bei ya juu sana bila kujua sababu ya gharama ya juu. Kama kweli NHC ni shirika la serikali na linapata viwanja bure na wakati mwingine kuchukuwa viwanja vya Watanzania kwa manufaa ya uma basi wawekewe kiwango cha faida mfano gharama za ujenzi +15% badala ya utaratibu wa sasa ambao ni wa kuleta faida zaidi badala ya kusaidia wananchi.
Wadau labda ni mimi tu lakini sijaelewa ni kwanini nyumba za NHC ni ghali sana ukizingatia kwamba hawanunui viwanja na hawalipi tax.
NHC wanabomoa nyumba ambazo Watanzania wanapanga kwa bei nafuu na kutengeneza nyumba kwenye viwanja hivyohivyo nyumba za bei ya juu sana bila kujua sababu ya gharama ya juu.
Kama kweli NHC ni shirika la serikali na linapata viwanja bure na wakati mwingine kuchukuwa viwanja vya Watanzania kwa manufaa ya uma basi wawekewe kiwango cha faida mfano gharama za ujenzi +15% badala ya utaratibu wa sasa ambao ni wa kuleta faida zaidi badala ya kusaidia wananchi.
Mkuu mimi ninavyojua ni kuwa nhc wanalipa kodi kama kawaida ndiyo maana wana charge hela nyingi katika uuzaji wa nyumba zao na pia shirika linajiendesha kibiashara kwa kuwa hawapati ruzuku tofauti na tbc ccm,hata viwanja vipya wanavyopita wanauziwa at market price au wanaingia ubia na wauzaji huwezi amini mpaka katika halmashauri wanwauzia au wanaingia ubia now a days there is no free lunch.
Kwani kwa watu binafsi hali ipoje? Maana kuna jamaa hapa Songea kauza nyumba yake yenye bedroom 3, sebule, jiko, store na public toillet kwa shilingi milioni 65. Naona hawa wa NHC wanauza kwa bei nafuu sana ukizingatia kuwa nyumba wanajenga kwa kiwango cha hali ya juu. Yaani ukinunua nyumba ya NHC hutegemei kufanya ukarabati kwa siku za karibuni kwani wanatumia vifaa bora sana. Mie nimenunua moja hapa Songea na kwa hakika ubora wake ni wa hali ya juu
Wadau labda ni mimi tu lakini sijaelewa ni kwanini nyumba za NHC ni ghali sana ukizingatia kwamba hawanunui viwanja na hawalipi tax.
NHC wanabomoa nyumba ambazo Watanzania wanapanga kwa bei nafuu na kutengeneza nyumba kwenye viwanja hivyohivyo nyumba za bei ya juu sana bila kujua sababu ya gharama ya juu.
Kama kweli NHC ni shirika la serikali na linapata viwanja bure na wakati mwingine kuchukuwa viwanja vya Watanzania kwa manufaa ya uma basi wawekewe kiwango cha faida mfano gharama za ujenzi +15% badala ya utaratibu wa sasa ambao ni wa kuleta faida zaidi badala ya kusaidia wananchi.
Wadau labda ni mimi tu lakini sijaelewa ni kwanini nyumba za NHC ni ghali sana ukizingatia kwamba hawanunui viwanja na hawalipi tax.
NHC wanabomoa nyumba ambazo Watanzania wanapanga kwa bei nafuu na kutengeneza nyumba kwenye viwanja hivyohivyo nyumba za bei ya juu sana bila kujua sababu ya gharama ya juu.
Kama kweli NHC ni shirika la serikali na linapata viwanja bure na wakati mwingine kuchukuwa viwanja vya Watanzania kwa manufaa ya uma basi wawekewe kiwango cha faida mfano gharama za ujenzi +15% badala ya utaratibu wa sasa ambao ni wa kuleta faida zaidi badala ya kusaidia wananchi.
hata mimi sielewi hata hizo nyumba wamewalenga akina nani. labda hao mafisadi wenye uwezo wa kujenga ili watupangishe sisi walala hui. unaweza kuta nyumba inauzwa mil 50 kumbe ingeweza kuuzwa kwa mil 20 tu.
inashangaza, kwani kiukweli hakuna mtanzania wakawaida mwenye uwezo wakununua nyumba hizo.
Kwani kwa watu binafsi hali ipoje? Maana kuna jamaa hapa Songea kauza nyumba yake yenye bedroom 3, sebule, jiko, store na public toillet kwa shilingi milioni 65. Naona hawa wa NHC wanauza kwa bei nafuu sana ukizingatia kuwa nyumba wanajenga kwa kiwango cha hali ya juu. Yaani ukinunua nyumba ya NHC hutegemei kufanya ukarabati kwa siku za karibuni kwani wanatumia vifaa bora sana. Mie nimenunua moja hapa Songea na kwa hakika ubora wake ni wa hali ya juu
Ni kweli hawa jamaa wana act very funny.....shirika ni la uma lakini walengwa wao ni tabaka fulani tu la uma huo...ni ukichaa kusema unauza nyumba kwa bei nafuu ya sh 40ml, nina mashaka kama kweli serikali na shirika lake wanajua hali ya wanainchi wake.
Hata za kupanga nazo ni vichekesho tu....hivi tabaka la wenye uwezo wa kulipa laki mbili na nusu kwa mwezi ni asilimia ngapi ya Watanzania mil 45 ?
Matokeo yake nyingi ya nyumba za kupanga na zile zina/zilizouzwa (haswa mijini) zimehodhiwa na wenye nafasi na uwezo wao...na wao ndio wanakuwa mtu wa kati.....kwa kupanga au kununua.
kwani NHC iko chini ya waziri gani na hiyo ardhi wanayouziwa wananunua kwa waziri gani?
Nijuavyo mimi ili kumdhibiti/kumkomoa huyo mtu binafsi ni serikali ndio anapaswa kuwa kimbilio....yaani wakati huyo mtu binafsi anakupangisha kwa laki mbili na nusu, basi mtu uwe na nguvu ya kusema "usinitishe na nyumba yako bana, serikali yangu wana nyumba nzuri hata zaidi ya hii kwa laki na nusu" nadhani hiyo ndio maana ya serikali, na sio hiyo ya kushindana na watu binafsi na kuwapa kiburi....sasa hivi wanakwambia kwa kujiamini...nenda zunguka utarudi tu.
Wizi mtupu
wadau labda ni mimi tu lakini sijaelewa ni kwanini nyumba za nhc ni ghali sana ukizingatia kwamba hawanunui viwanja na hawalipi tax.
Nhc wanabomoa nyumba ambazo watanzania wanapanga kwa bei nafuu na kutengeneza nyumba kwenye viwanja hivyohivyo nyumba za bei ya juu sana bila kujua sababu ya gharama ya juu.
Kama kweli nhc ni shirika la serikali na linapata viwanja bure na wakati mwingine kuchukuwa viwanja vya watanzania kwa manufaa ya uma basi wawekewe kiwango cha faida mfano gharama za ujenzi +15% badala ya utaratibu wa sasa ambao ni wa kuleta faida zaidi badala ya kusaidia wananchi.