Kwanini nyumba za NHC bei iko juu?

suwaulize nani kakwambia Kuwa humu kuna office zao

yotr haya ni madhara ya kuto jua matumizi ya mitandandao ya kijamii, nadhani wewe ni limbukeni na utoto unakusumbua, kama ndio hivyo basi habari zote zingekuwa zinapelekwa sehemu husika na sio kujadiliwa huku. Shwain
 
naona topic inakimbiza kwenye kutolewa hatuwezi hata kuhoji sikuhizi
 
Za kule mkuzo vyumba viwili au?
 
Nhc iko chini ya wizara ya ardhi lakini wizara ya ardhi haimiliki ardhi,ardhi inamilikiwa na halmashauri na wananchi wizara kazi yao ni kusimamia sheria ya ardhi na kutunga sera ikiwa ni pamoja na kusimamia matumizi sahihi ya ardhi

sasa unasemaje kuwa anauziwa bei kubwa wakati valuer ndio muuzaji na mnunuaji?kwani halmashauri na wizara au serikali wanatofauti gani?

ukweli ulio wazi kuwa ile ni biashara ya wakubwa wala sio kukomboa wananchi.labda kwa watumishi wa umma wenye mikataba ya maisha kazini.
 
definition ya neno "nyumba bora" ni muhimu kulifahamu.
 
Hakuna mwananchi mwaminifu muadilifu mwenye uwezo wa kununua nyumba za NHC zenye bei ya mamilioni. Tahadhari yangu ni kwamba nchi inauzwa vipande vipande kwa wahindi, waarabu, wachina n.k. kupitia shirika hili la kifisadi la NHC.
 
Njoo mbagala nikupe kiwanja, Huko ni nji ingine, , mimi nitahamia mbande!
 
Nakuunga mkono kwa asilimia zote. Najiuliza hivi hakuna hata kiongozi mmoja pamoja na Rais na wabunge ambaye haoni kwamba NHC haisaidii hao watu wanaotajwa? Mfanyakazi anayepata mshahara 4m ndiye anaweza kukopa pesa hiyo akanunua nyumba hizo,nje ya hapo anakuwa ameiba.
 
ni ndoto kwa mtanzania wa kipato cha chini kumiliki hizi nyumba mi naonaga mazingaombwe tu na hadaa tu
 
Hawa jamaa materials wanazyotumia kujengea hizi nyumba hata ukijumlisha ufisadi bado hazikutakiwa kuvuka milioni ishilini, hizi bei zinazouzwa utafikiri wanauziwa wauza sembe.
 
Peleka Mipasho ya Hadija Kopa kule!
 
Ramani ya kizamani

Kinyumba cha vyumba 2 na sebule, bei milioni 55.

Hawa watu wana dunia yao kabisa
 
NHC hawalipi property tax badala yake wanalipishwa wapangaji ingawa wao sio owner
 
Pambana ujenge ya kwako !! Acha kulia lia nyumba za serikali nao huduma huku zinatakiwa zijiendeshe.....pambana jenga hata vyumba 2 hamia.....waavhie wenye meno.....
 
Ngoja majengo ya Msimbazi yakimalizika uone kodi juuu. Hapo wataishi matajiri tu wanaoweza kulipa mamilioni
 
Pambana ujenge ya kwako !! Acha kulia lia nyumba za serikali nao huduma huku zinatakiwa zijiendeshe.....pambana jenga hata vyumba 2 hamia.....waavhie wenye meno.....
Hata serikali siyo ya baba yako.

Serikali ni kwaajili ya kila mtu.

Hao unaowaita wasio na meno ndio kila kitu ikiwemo serikali inawategemea
 
Nyumba ambayo inagharimu milioni let say 30. NHC wanauza nyumba hiyohiyo kwa milioni 90-100. Na kwao wanadai hizo ni nyumba za bei nafuu

Miradi ya watu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…