stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Kwanini magari aina ya Landcruser V8 machache?Kwanini nyumba zinazopauliwa kwa mabati mfano wa vigae ni chache sana?
mabati haya aina ya vigae maarufu kama versatile
fatilia uzi huu nitashare maoni yangu kama una maoni yako yalete pia
0743 257 669 fundi kupaua
Umemaliza kila kitu.1. Inatumia idadi kubwa ya mbao,mara mbili ya idadi ya mbao za kawaida...
2. Uzito mkubwa wa mbao,utapelekea uhitaji wa kuta zenye nguvu zaidi,,Tofali za machine
3. Ambapo upelekea uhitaji wa msingi imara kwelikweli,
4. Gharama ya fundi inakuwa juu kuanzia kuweka mbao na kuweka paa.