Kwanini nyuzi nyingi zinazo muunga mkono Mbowe zinaanzishwa na vijana wa CCM na sio wenyewe CHADEMA.

Mzee Ngonyani

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
1,049
Reaction score
2,242
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
 
Siku zote uwe unaishi kwa utambuzi na hekima.
Kama unakumbuka, kuna mmoja alikuwa anaitwa fisadi kuu shetani kabisa, kwa muda wa miaka 7. Baadaye wale wale waliokuwa wakizunguka huko na huko kumuita yule mtu ni fisadi, wakabadili gia angani kuanza kumuita yule mtu malaika. Matumizi ya akili yanahitajika
 
Sisi Watanzania tuna shida pahala fulani
 
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Wewe unawashangaa wa CCM, lakini huwashangai Wana Chadema wenzako waliokuwa wakidai CCM ina njama Mbowe aache kugombea uwenyekiti wa Chadema ili Chadema ife, kipindi kile Wana CCM wanadai Mbowe ame overstay! Leo hao hao ndio wamechukua wimbo wa Wana CCM wa Mbowe aondoke. Umesahau kale ka wimbo ka "Mwamba Tuvushe"! Ahahahahaha!!!
 
Sisi Watanzania tuna shida pahala fulani

Labda tuna changamoto ya kusahau kama mbuzi. Maana yeye kama alikuwa ameingia kwenye shamba la ngano na ukamfukuza. Baada ya muda mfupi tu anasahau na kwenda tena kula ngano.
 
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Ukiona adui yako anaanza kukupenda na kumbagua rafiki yako GUTUKA!
FB_IMG_1734879841653.jpg
 
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Mkuu, "zimwi likujualo halikuli ukaisha". Hao hawamtaki zimwi wasio mjua, maana ANATISHIA UHAI WAO
 
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
CCM huwa inawapigania makomredi wake.
 
Akiwepo Mbowe ni sawa na hakuna upinzani nadhani
 
Back
Top Bottom