Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Wewe hujui kwamba walio wekeza kwa mbowe ni CCM, lazima mwenye mtaji atetee mtaji wakeInashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Sisi Watanzania tuna shida pahala fulaniSiku zote uwe unaishi kwa utambuzi na hekima.
Kama unakumbuka, kuna mmoja alikuwa anaitwa fisadi kuu shetani kabisa, kwa muda wa miaka 7. Baadaye wale wale waliokuwa wakizunguka huko na huko kumuita yule mtu ni fisadi, wakabadili gia angani kuanza kumuita yule mtu malaika. Matumizi ya akili yanahitajika
Wewe unawashangaa wa CCM, lakini huwashangai Wana Chadema wenzako waliokuwa wakidai CCM ina njama Mbowe aache kugombea uwenyekiti wa Chadema ili Chadema ife, kipindi kile Wana CCM wanadai Mbowe ame overstay! Leo hao hao ndio wamechukua wimbo wa Wana CCM wa Mbowe aondoke. Umesahau kale ka wimbo ka "Mwamba Tuvushe"! Ahahahahaha!!!Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Ha ha Aisee.Marekani analinda Miradi yake pale Mido isti.
Sisi Watanzania tuna shida pahala fulani
Ukiona adui yako anaanza kukupenda na kumbagua rafiki yako GUTUKA!Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
FAM anapata support kutoka CCM kwa asilimia kubwa tu.Wamemfanya mbowe ndio chaka lao.
Mkuu, "zimwi likujualo halikuli ukaisha". Hao hawamtaki zimwi wasio mjua, maana ANATISHIA UHAI WAOInashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
CCM huwa inawapigania makomredi wake.Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Raia huko mtaani wanasonya tu.
Raia huko mtaani wanasonya tu.
Wameumizwa Sana hisia zao na haya yanayo endelea.