TISHETI PLAIN DODOMA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 617
- 1,910
Ukitaka kushughulikia jambo lako lazima utenge takriban siku nzima, ni kuambiwa tu mtandao upo chini mara haupo sawa, tutafika kweli? Nachoka Mimi.
Sio huko TU hatavmakampuni binafsi ilionekana una shida complex BADALA ya wao KUKUPA MTU WA kushugulikia jambo wanakuambia mtandao njoo kesho mfano Airtel, na vodaUkitaka kushughulikia jambo lako lazima utenge takriban siku nzima, ni kuambiwa tu mtandao upo chini mara haupo sawa, tutafika kweli? Nachoka Mimi.
Wanazingua sanaSio huko TU hatavmakampuni binafsi ilionekana una shida complex BADALA ya wao KUKUPA MTU WA kushugulikia jambo wanakuambia mtandao njoo kesho mfano Airtel, na voda
Rushwa ni tatizo kubwa sana nchiniMkono mtupu haulambwi dogo, jichekeche chap issue yako inaisha.
Kwa hii mitandao ya simu, kuna matatizo yanahitaji muda kuya angalia bosi, haya yanayohusiana na pesa.Sio huko TU hatavmakampuni binafsi ilionekana una shida complex BADALA ya wao KUKUPA MTU WA kushugulikia jambo wanakuambia mtandao njoo kesho mfano Airtel, na voda
Kwa style hii,hatutoboiWakati mwingine mtandao upo ila kwa sababu hawawezi au hawataki kukupa huduma/majibu wakati huo wanakuambia tu mtandao haupo sawa au uko chini ili uondoke bila kuulizia maswali mengi
Siamini, nahisi ni excuse tu, lakini kwa nini wafanye hivyo sasa? Wanapotezea watu muda waoNa wewe huwa unaamini kweli hamna mtandao?
Tatizo ni watoa huduma sio issue ya mfumo. Mifumo mingi ya kiserekali ipo vizuri, tatizo ni costumer care.Davidmmarista sekta ina wataalamu walio nondo au ndo walio nondo wapo klitaa walioajiriwa connection imetumika?
Vipi ofisi ya private mtandao upoje? Ndio maana kukawa na sera ya ubinafshajiUkitaka kushughulikia jambo lako lazima utenge takriban siku nzima, ni kuambiwa tu mtandao upo chini mara haupo sawa, tutafika kweli? Nachoka Mimi.