Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
24,225
Reaction score
22,632
Tangu suala la ushoga lianze kutikisa hapa nchini na kutua bungeni, umepita takribani mwezi mmoja sasa lakini cha ajabu bado hatujaletewa orodha ya wabunge wasenge waliobainika baada ya zoezi la upimaji.

Mara zote wabunge wamekuwa mstari wa mbele kuficha mambo yanayowahusu moja kwa moja. Mfano mzuri ni tukio la hivi karibuni ambalo mbunge (na naibu waziri) alihusika kwenye ajali iliyosababisha kufa kwa kimada wake mwanafunzi. Badala ya kuweka jambo hili hadharani, mbunge huyo alitumia nguvu nyingi sana kuwatuma polisi kukanusha. Kibaya zaidi, baada ya wabunge kupimwa usenge, wameamua tena kukalia majibu! Safari hii hatuwezi kukaa kimya. Tunataka orodha ya wabunge wasenge iwekwe wazi ili wapigakura wao tuwajue mapema kabla ya 2025. Kwaini orodha hii inafichwa? Kigugumizi hiki kinasababishwa na nini?

Kama wananchi tukiendelea kukaa kimya, huu mchezo wa kufichana utaendelea hadi Yesu atakaporudi. Hii sio sawa na wala sio haki hata kidogo. Kwa kuwa wabunge ni wawakilishi wa wananchi, haifai kuficha majibu yao. Majibu lazima yawekwe wazi kwenye tovuti ya bunge ili wananchi waweze kuyaona na kutambua kama wabunge wao ni wasenge au la.

MAONI YANGU
Kwa kuwa vipimo vya usenge miongoni mwa wabunge vilifanyika muda mrefu, ni wazi kuwa majibu yatakuwa tayari. Hatutakubali kuona uongozi wa bunge ukikaa kimya kana kwamba upimaji bado haujakamilika. Tunajua upimaji tayari na majibu yametoka. Ni bora tuwajue mapema hawo wasenge ili tusiwarejeshe bungeni mwaka 2025. Hatutaki kuona bunge letu linanajisiwa na wasenge halafu tukakaa kimya.

Tazama video ifuatayo ujikumbushe kilichozungumzwa siku hiyo na hatua za upimaji zilizofuata. Halafu huyu Msukuma mbona anapinga sana suala la upimaji? Huyu inapaswa apimwe kwa nguvu. Isije ikawa anataka kufunika kombe mwanaharamu apite.

 
Ila kuna mambo ukiyafikiria sana unaishia tu KUCHEKA kama "taahira"[emoji1787]

Hivi faragha kikatiba haihusishi kuheshimu MIILI ya WATU ,HESHIMA YAKE NA USIRI WAKE ?!!!

Tanzania itakuwa ya kwanza duniani kuwapima watu kwa nguvu huo "usenge" [emoji1787][emoji1787]

Isitoshe tu kwa madaktari kufanya vipimo hivyo pale panapokuwa na "UNAJISI" ambako ni kinyume cha sheria......leo hii yatokee "mababa" yashadadie huku mitaani watu wapimwe USENGE ?!!

Kama huku mitaani itakuwa ni "laughing stock" leo hii iwe kwa WAHESHIMIWA WABUNGE?!!!

Yaani kabisa wapigwe "DIGITAL RECTAL EXAMINATION-DRE) halafu majibu tuletewe wananchi kuwa "fulani na fulani" ni MADHEHA ,"VYATOKA" "BISCUIT LAINI YA KUMEZA TU" "MCHICHA MWIBA" "MCHELEMCHELE" "WALI NAZI" "ASALI-MAZIWA NA PARACHICHI" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


HEBU TUWENI MAKINI NA MAMBO MAKINI JAMANI

#SIEMPREJMT[emoji120]
Mkuu hili jambo liliibuliwa na wabunge wenyewe na walisema wapo serious wanataka kuonesha mfano kwa wapiga kura wao. Kwanini wewe unataka kuwakatisha tamaa wasitoea majawabu na orodha yao hadharani? Hili jambo sio la mzaha. Ni lazima wapigakura tujulishwe kuhusu afya za wabunge wetu.
 
Ndio; wanapimwa kama papuchi zao zinatumika au la. Kama hazitumiki, basi moja kwa moja wanakuwa kwenye kundi la lesbians.
Duuh [emoji1787][emoji1787]

Kuwa "serious" banaa huoni kama utawaonea wengine ambao kijinsia ni wanawake lakini hawana "msukumo" wa kuwa na wenza tena toka kuzaliwa....ama utatumika ubabe kuwaumiza kisaikolojia hivyo utakavyo? [emoji1787]
 
Mkuu hili jambo liliibuliwa na wabunge wenyewe na walisema wapo serious wanataka kuonesha mfano kwa wapiga kura wao. Kwanini wewe unataka kuwakatisha tamaa wasitoea majwabu na orodha yao hadharani? Hili jambo sio la mzaha. Ni lazima wapigakura tujulishwe kuhusu afya za wabunge wetu.
Daaah
 
Duuh [emoji1787][emoji1787]

Kuwa "serious" banaa huoni kama utawaonea wengine ambao kijinsia ni wanawake lakini hawana "msukumo" wa kuwa na wenza tena toka kuzaliwa....ama utatumika ubabe kuwaumiza kisaikolojia hivyo utakavyo? [emoji1787]
Hapana mkuu. Pamoja na upimaji, dakatari pia huchukua historia ya mpimwaji ili kuepusha uonevu wowote unaweza kujitokeza.
 
Back
Top Bottom